PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Maandamano ya tarehe 29.10.2025. Niliandamana vizuri na malengo yote yalitimia

TAREHE 09.12.2025 Malengo yangu ni haya

1.Polisi na familia zao
2. Mwenyeviti wa mtaa,vitongoji na vijiji wa CCM
3.Ofisi zote za serikali ya mtaa /vijiji
4.Mabalozi wa nyumba kumi na wanaCCM kindaki ndaki
5.Ofisi za za zote
 
Dadeki hu mwaka huu ,,sio wa mchezo
 
Mapinduzi siyo!!?..tutakuwepo,asijilize mtu na kujitilisha huruma baada ya mkong'oto,atakayepigwa hakuna kulia
 
Maandamano 9/12 Wananchi tunatakiwa tudhibiti bunge na ikulu ndio ushindi wetu tunaenda kuvunja bunge bandia na rais tusiye mchagua ikulu.

Uchaguzi haukuwa wa haki na huru na uchahidi tunao.
Sehemu muhimu ni Ikulu zote Dar na Dodoma, TBC vyombo vya habari. Unahitaji watu ndani ya jeshi la polisi, JWTZ, usalama kumkamata Samia.
 
Maandamano 9/12 Wananchi tunatakiwa tudhibiti bunge na ikulu ndio ushindi wetu tunaenda kuvunja bunge bandia na rais tusiye mchagua ikulu.

Uchaguzi haukuwa wa haki na huru na uchahidi tunao.
Katika vitu ambavyo GenZ mnafeli ni kushindwa kuficha mikakati yenu. Kila kitu mnakimwaga mtandaoni. Unadhani serikali itakuwa imelala hadi muidhibiti Ikulu na bunge? Tena safari hii ndo hakutakuwa na huruma kabisa endapo mtathubutu kufanya hayo maandamano haramu.
 
Nyinyi masoja mliovalia kiraia 29 na 30 October mlituingiza chaka, mlikua mstari wa mbele kuhamasisha tukaungana huku tukilindwa na wenzenu waliovaa bakabaka, bila kutarajia kama filimbi zitawaita makambini.

Usiku wa October 30 kuamkia 31 filimbi zilipigwa makambini masoja wote mlikusanywa makambini. Na October 31 ndo Siku ambayo raia tulichakazwa vibaya sana.
 
KAMA HAMUWEZI KUFANYA KAMA AKINA TRAORE MSIHAMASISHE MAANDAMANO MNATUMALIZIA VIJANA WETU
 
wenzenu burkinabe hawakua na makelele kama yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…