PostGE2025 Mange Kimambi: Disemba 9 fanyeni maandamano ya amani ya nchi nzima, sio Gen Z tu kila mtu atoke

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Kadanganye wajinga. Hakuna mtu humu alieandamana. Pia Mimi nilikua na akili za kipumbavu kama zako lakini hakuna faida yoyote kufanya hayo yote.
 
Maandamano 9/12 Wananchi tunatakiwa tudhibiti bunge na ikulu ndio ushindi wetu tunaenda kuvunja bunge bandia na rais tusiye mchagua ikulu.

Uchaguzi haukuwa wa haki na huru na uchahidi tunao.
Ngoja nitunze hii ,
 
Mapinduzi siyo!!?..tutakuwepo,asijilize mtu na kujitilisha huruma baada ya mkong'oto,atakayepigwa hakuna kulia
Acha tishia watu, umekua kimbelembele sana, badala yakutaka umoja we upo kimbelembele , tulipo tuitaji neema ya Mungu watu wamechafukwa rai yangu kwa G z tuyazungumze ,
 
Acha tishia watu, umekua kimbelembele sana, badala yakutaka umoja we upo kimbelembele , tulipo tuitaji neema ya Mungu watu wamechafukwa rai yangu kwa G z tuyazungumze ,
Asiyetaka umoja nani kama siyo nyinyi,tulizeni vinyeo,mtapasuka
 
Yaani kikundi cha watu kisitokee na kutaka maridhiano na CCM. Jamani msitegemee tukapata haki na kufurahia nchi yetu kwa maridhiano na CCM. Hiyo kitu haipo.
CCM wako tayari kumwaga damu ili tu waendelee kubagaza nchi yetu.
Sasa ni sisi kuamua, tuwaache waendelee kula nchi yetu watakavyo, kutunyima haki zetu, kutupoteza. Kaa chini na ufikiri na uchukue radical decision
 
Ona sasa serikali isivyo na haki, imelundika vijana wa 29 Oktoba mahakamani wasio na hatia eti ni wahaini, halafu wanasahau mtu wa maana kabisa kama wewe unadunda mtaani na unaita makomando vipensi waje kuchafua upepo, anyway huyo jamaa ni nani kwanza? maana ni jina geni kwangu pamoja na ujuaji wangu nimetoka mweupe hapa.
 
Mara hii mtajuta mkijifanya kujua
Mkuu acha kauli za hivi ,wanamani8isha ujue ,cha msingi ni kukaa na Gz tukubaliane tu hakuna namna , tukubaliane tunaijenga nchi katika taratibu zipi basi ubabe hautufikishi mbali mkuu .

Toeni mili , kaa na familia zao omba msamaha , toa fidia japo haiwezi rudisha roho za maremu , illa kila familia ipewe fidia ya m20 kwa kila roho iliyopotea mengine yanaweza fuata

Futeni uchaguzi, rekebisha sheria za uchaguzi chini ya serikali ya mpito
 
Kadanganye wajinga. Hakuna mtu humu alieandamana. Pia Mimi nilikua na akili za kipumbavu kama zako lakini hakuna faida yoyote kufanya hayo yote.
WEWE NI MALAYA WA KISIASA UNAISHI KWA UGALI WA SHIKAMOO KUTOKA KWA SAMIA.
Huna akili ya maendeleo huwezi kuandamana.

TUKUTANE TENA 09.12.2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…