Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...

Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba nae arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekua mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Yule malaya anaekesha Space jana alipost eti maandamano ya mbagala video za nyuma sana watu wakaruka nae!! Hawa watu wana kichaa
 
Jambo la kuumiza ni kuona namna CCM walivyochinja watanzania ili wabaki madarakani, hilo ndo lakuumiza na wala sio habari za maria na Mange.
 
Hatar sana mkuu...nadhan sio wazima kiakili badala wale bia wanahangaika Bure tu...
 
Kichaa pimbi km wewe hata ukiambiwa ni kichaa utabisha tu

Pimbi kiazi chawa promax!
Njoo hapa billionaires club vip Kigali unywe bia wewe fara nikuelezee ugonjwa alionao fara wenu mange...anamuandikia trump atulipue watanzania kwa mabomu...huyo ni mtu ama zombie tu...kaona maandamano yamefeli watanzania wamechagua amani, anataka tufe wote ...na pimbi fara kama wewe unaona ana akili sana
 
Jambo la kuumiza ni kuona namna CCM walivyochinja watanzania ili wabaki madarakani, hilo ndo lakuumiza na wala sio habari za maria na Mange.
Wamechinjwa wahalifu waliokua wanachoma nchi
 
Yule malaya anaekesha Space jana alipost eti maandamano ya mbagala video za nyuma sana watu wakaruka nae!! Hawa watu wana kichaa

..kinachoendelea ni matokeo ya Ccm kugandamiza vyama vya siasa na kupelekea vishindwe kuwasemea Watz.

..vyama vya siasa vingeachwa viwe active na vistawi watu wasiofaa wasingejiingiza katika siasa zetu.
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba nae arushe mabomu nchini kwetu
Nami ningeungana nawe kuuliza swali kama hilo kama Tanzania ingekuwa bado inayo hadhi na heshima ya kuwa nchi inayoongzwa na viongozi wanaoweka maslahi ya taifa hili mbele ya jambo jingine lolote.

Lakini kwa hali hii ilivyo sasa, nami inanibidi nikuulize wewe kama kweli akili zako zinafanya kazi sawasawa kichwani mwako.

Hata hivyo, binafsi nisingependa yeyote aje alipue hapa; lakini ningependa waTanzania wenyewe wawezeshwe kuwalipua hawa washenzi wanaojifanya kama nchi hii ni mali yao.

Hawa tutawashughulikia wenyewe, hasa tujidhibiti hiyo mitutu ya bunduki wanayoitumia kuua waTanzania.

Sasa sijui kama umenielewa; vinginevyo nawe utakuwa ni sehemu ya hao hao wapuuzi.
 
Huenda Mange na Maria wako psychologically affected.
Wanahitaji counceling

Yelling ya Mange siyo ya kawaida, haiko sober. Haiko calm

Na posting trend ya Maria haiko normal. Kama kaajiri vijana wamfanyie kazi ya kupost basi ajievaluate upya. Inaonekana yuko out of touch na reality ya kinachoendelea on the ground TZ.

Aliyekuja na idea ya kuandaa maandamano ya December 9 aliwaingiza chaka vibaya sana. Walitakiwa wakomae na yaliyotokea October 29 tu kwa miaka miaka hata mitatu mfululizo, ili kuibananga, kuitindinganya, na kuihondomola serikali hii ya kidhalimu mpaka ionekane hopeless kabisa. Sasa badala yake wanaanza kubehave irrationally mpaka watu tunaanza kuquestion sanity yao.

Hebu warudi katika drawing board wakoleze elimu ya uraia zaidi tuzidi kujitambua badala ya hizi reactionary moves za maandamano yasiyokuwepo.
 
Hiyo kawaida mkuu. Ni kama nyie mnavyompongeza Rais kwa kuua waandamanaji.
 
Impressive how you have seen this in a very wide picture...imagine telling a united states president to bomb Tanzania ..insanity at its best....
 
Hiyo kawaida mkuu. Ni kama nyie mnavyompongeza Rais kwa kuua waandamanaji.
Waandamanaji wahalifu...hakukua na maandamano na hakuna kibali Cha maandamano kilitolewa, walikuepo walikua wahalifu ndio mana mali za watanzania wasio na hatia zilichomwa, kuharibiwa, na kuibwa.
 
Nami ningeungana nawe kuuliza swali kama hilo kama Tanzania ingekuwa bado inayo hadhi na heshima ya kuwa nchi inayoongzwa na viongozi wanaoweka maslahi ya taifa hili mbele ya jambo jingine lolote.

Lakini kwa hali hii ilivyo sasa, nami inanibidi nikuulize wewe kama kweli akili zako zinafanya kazi sawasawa kichwani mwako.

Hata hivyo, binafsi nisingependa yeyote aje alipue hapa; lakini ningependa waTanzania wenyewe wawezeshwe kuwalipua hawa washenzi wanaojifanya kama nchi hii ni mali yao.

Hawa tutawashughulikia wenyewe, hasa tujidhibiti hiyo mitutu ya bunduki wanayoitumia kuua waTanzania.

Sasa sijui kama umenielewa; vinginevyo nawe utakuwa ni sehemu ya hao hao wapuuzi.
Rubbish...insanity ...maandamano yamefeli...tarehe 9, failed, 25 failed ..have you asked your self why...sababu watanzania most of them wameona walikua wnaaingizwa kwenye mtego wa kuichafua nchi yao wenyewe na kua sehem ya kikundi Cha wahalifu Cha kupindua serikali na nchi...
 
Back
Top Bottom