Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Lengo la kujaza uzi ukalipwe
Sio vibaya kulipwa ili uilinde amani ya nchi niweze kufanya shuhul zangu kwa nafasi kuliko kulipwa uwaingize watanzania wenzako waharibu nchi na kufanya uhalifu wa kutaka kupindua serikali ..
 
Sio vibaya kulipwa ili uilinde amani ya nchi niweze kufanya shuhul zangu kwa nafasi kuliko kulipwa uwaingize watanzania wenzako waharibu nchi na kufanya uhalifu wa kutaka kupindua serikali ..
Endelea kulinda amani huku ukiijambia haki.

Karma haina second chance
 
Endelea kulinda amani huku ukiijambia haki.

Karma haina second chance
Karma itaenda kwa mange na maria kwa kusababisha machafuko nchini na kuchochea uhalifu
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...

Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Hata tumboni ni wazima,kwani unasemaje juu yao?
 
Back
Top Bottom