🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Sasa wewe na yeye nani zombi?