Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Maria na mange Wana uwezo Gani zaidi ni wahaini wanaotumika na kikundi Cha watu kwa maslahi yao selfish zaidi ni kupiga hela tu kwa NYUMBU kuandamana...
Kama wana uwezo wa kuwashawishi wazungu kupitia taasisi zao na kulipwa ili kutetea wananchi wapate haki zao uoni kama ni akili kubwa? Kama unaona ni rahisi kuwashawishi wazungu wakupe hela basi na wewe andaa proposal kwenda FORD FOUNDATION ulipwe.
 
Ubaya una mwisho lakini, Usitegemee kumuona Mange akiendelea kutamba huko USA, kumbuka META wameshazuia akaunti zake zisiruke hewani. Hao wazungu wanafanya kazi kwa mtandao mpana boss wa META anawasiliana na maboss wa wizara za huko pamoja na wale wa FBI ambao wanawasiliana na mabosi wa TISS.

Unaweza kudhani ni ujanja kupiga pesa kwa kutengeneza uchochezi lakini mwisho huwa mbaya kwa hao wanaharakati.
 
Weka ushahidi wa Mange kulipwa pesa kwanza usiwe na wewe unadanganywa na propaganda za GIRISHONI.

Nakukumbusha tu kwamba Mange ni raia wa Marekani ,USA hawawezi kumleta raia wake TZ sehemu ambayo ni hatari kwa usalama wake.
 
Hakuna atakayemleta huku Tanzania, atashtakiwa huko huko California kule kuna ubalozi wetu.

Ubalozi utafanya shughuli ya kuajiri mwanasheria wa kule kule USA atakayeshirikiana na mwanasheria wa kutoka huku Tanzania watafungua kesi huko California.

Sio Mange pekee, kuna yule Gay Nuruvazi, Maria na wengine wanaojulikana wanalipwa pesa chafu lakini zinawatokea puani.
 
Kama wana uwezo wa kuwashawishi wazungu kupitia taasisi zao na kulipwa ili kutetea wananchi wapate haki zao uoni kama ni akili kubwa? Kama unaona ni rahisi kuwashawishi wazungu wakupe hela basi na wewe andaa proposal kwenda FORD FOUNDATION ulipwe.
Wewe ni kiazi...Hawajetetea wananchi walichofanya ni kuhamasisha wananchi wachome na kuharibu nchi yao na ikiwezekana wapindue serikali na kwa kias flan walifanikiwa kama unavyoona uhalifu uliofanyika na Hadi wakapewa pesa ..ila matokeo ndio hayo, waliyofanya wengine wameuliwa na wengine Bado wako katika Hali ya umaskin mkubwa ilihali wao wako washawekewa pesa mabilioni
 
Hakuna atakayemleta huku Tanzania, atashtakiwa huko huko California kule kuna ubalozi wetu.

Ubalozi utafanya shughuli ya kuajiri mwanasheria wa kule kule USA atakayeshirikiana na mwanasheria wa kutoka huku Tanzania watafungua kesi huko California.

Sio Mange pekee, kuna yule Gay Nuruvazi, Maria na wengine wanaojulikana wanalipwa pesa chafu lakini zinawatokea puani.
Hivi mkuu nikuulize Kuna kitu serikali ilieafanyia Hawa..kwanini wanataka Tanzania ipate machafuko ..ni pesa kweli ama Kuna kingine behind...
 
Tanzania ya miaka ya 80 ina tofauti na hii ya 2025.

Kuna vyama vingi vimeingia demokrasia imeingia. Haki za binadamu zimeingia humo humo.

Kuna vita za kiuchumi zimekaa kimaslahi zaidi. Pia uchumi wa dunia umekuwa mbaya katika kipindi hiki baada ya janga la Covid19, inakuwa rahisi kuitumia taharuki katika kuharibu ustawi wa Taifa.
 
Samia atabaki na atamaliza muda wake kama Katiba inavyosema , ataondoka atakuja mwingine hivyo hivyo kama desturi inavyofahamika, hajakaa kwa nguvu amefata Yale yote yanayotatikana kufanyika, sema ni wapumbavu wachache waliopo nje ya nchi walikua na chuki na nchi hii Hadi kutaka iingie kwenye machafuko na kupindua serikali na kutumia wahalifu kuharibu nchi, wahalifu waliokua wanaiba maduka, ATM, kuchoma biashara za watu, kuchoma sheli, na wahaini wakadhibitiwa, nchi ikabaki salama ..huko ni kukaa kwa nguvu...? Kukitokea machafuko hapa wewe na umaskin wako unaweza kukodi private plane ikuondoe nchini wewe na familia yako? Waliohamasisha wametuliza mikundu nje ya nchi wamepokea mlungula ..Bado haaziwatoshi walitaka tena nchi ichafuke tarehe 9, na 25, watanzania waliowengi asilimia kubwa wema wakashatukia upumbavu wao na kutokukubalia kutumika na wapumbavu hao (mental)
Unaandika kama mwenda wazimu vile asiyejuwa anachofanya. Hata akivua nguo, mwendawazimu haoni tofauti yoyote.

Samia Suluhu alipata kura asili mia 98 za kura zilizopigwa na waTanzania milioni 31. Ni mwendawazimu pekee ndiye anayeweza kujitangazia mambo kama hayo ambayo watu wote wenye akili timamu wanajuwa ni uenda wazimu.

Kwa hiyo, kwa kutumia akili za kiwenda wazimu zilezile, haishangazi hata kidogo kuwa na matumaini ya kutawala kwa mabavu watu wasiotaka kutawaliwa naye.

Ataua waTanzania ili abaki madarakani; lakini yeye, na nyinyi wote ni watu tu kama walivyo binaadam wengine. Hamkupewa mamlaka ya kuua wengine na nyinyi mbaki salama tu!
 
Nilivyo muelew yeye she ask for "Military intervation"
 
Wewe ni kiazi...Hawajetetea wananchi walichofanya ni kuhamasisha wananchi wachome na kuharibu nchi yao na ikiwezekana wapindue serikali na kwa kias flan walifanikiwa kama unavyoona uhalifu uliofanyika na Hadi wakapewa pesa ..ila matokeo ndio hayo, waliyofanya wengine wameuliwa na wengine Bado wako katika Hali ya umaskin mkubwa ilihali wao wako washawekewa pesa mabilioni
Wewe nio LOFA ,Mange ndiyo aliyeshawishi? Kweli wewe ni ZERO Brain ,hivi inawezekana Mange/Maria/Sativa Wawashawishi watu TZ nzima kuandamana? kama unaona ni rahisi basi wewe na GIRISHONOI washawishini wasiandamane.
 
Nilidhani najadiliana na sound minded.....
Kajadiliane na mange na maria na Larry madowo mawowo...hao ndio saizi yako sio Mimi intelligent with HIGH IQ...
 
Wewe nio LOFA ,Mange ndiyo aliyeshawishi? Kweli wewe ni ZERO Brain ,hivi inawezekana Mange/Maria/Sativa Wawashawishi watu TZ nzima kuandamana? kama unaona ni rahisi basi wewe na GIRISHONOI washawishini wasiandamane.
Wewe ni kiazi...Hawajetetea wananchi walichofanya ni kuhamasisha wananchi wachome na kuharibu nchi yao na ikiwezekana wapindue serikali na kwa kias flan walifanikiwa kama unavyoona uhalifu uliofanyika na Hadi wakapewa pesa ..ila matokeo ndio hayo, waliyofanya wengine wameuliwa na wengine Bado wako katika Hali ya umaskin mkubwa ilihali wao wako washawekewa pesa mabilioni
 
Wewe ni kiazi...Hawajetetea wananchi walichofanya ni kuhamasisha wananchi wachome na kuharibu nchi yao na ikiwezekana wapindue serikali na kwa kias flan walifanikiwa kama unavyoona uhalifu uliofanyika na Hadi wakapewa pesa ..ila matokeo ndio hayo, waliyofanya wengine wameuliwa na wengine Bado wako katika Hali ya umaskin mkubwa ilihali wao wako washawekewa pesa mabilioni
Wewe ni KENGE ,Mange yupo US ,Maria yupo Nairobi inawezekana vipi wahamasishe? Wewe mbona haujahamasika ,Mimi mbona sijahamasika? Sijawahi kusikia audio clip au kuona andishi lolote la Mange au Maria akihamasisha wananchi wachome moto vituo vya mafuta ,ebu weka hapa tuone ,usishikiwe akili wewe LOFA kwakuwa unalipwa na WAHUNI hao kina Abdul.

Nawashauri mwambie Abdul awawekee na NSSF maana ikifika 2030 hamna kazi.
 
Payge
Active

Naomba kwenye heading muongezee na anajiita sativa...sababu naona na yeye anaanza kupata kama ugonjwa wa akili...mana sio kwa matusi Yale ya nguoni anayovurumisha kwa timu ya taifa
 
Wewe ni kiazi...Hawajetetea wananchi walichofanya ni kuhamasisha wananchi wachome na kuharibu nchi yao na ikiwezekana wapindue serikali na kwa kias flan walifanikiwa kama unavyoona uhalifu uliofanyika na Hadi wakapewa pesa ..ila matokeo ndio hayo, waliyofanya wengine wameuliwa na wengine Bado wako katika Hali ya umaskin mkubwa ilihali wao wako washawekewa pesa mabilioni
Wewe KENGE mbona una kichwa BOX? Sijawahi kusikia audio clip au kuona andishi lolote la Mange au Maria akihamasisha wananchi wachome moto vituo vya mafuta /wafanye uhalifu...Maelezo mengi ya nini unaharibu miti ,weka clip au bandiko lao waliohamasisha.
 
Back
Top Bottom