Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Mange Kimambi na Maria Sarungi ni wazima kweli kichwani?

Katika mazingira tuliyomo, maswali ya aina hii huulizwa na wagonjwa wa akili

Mazingira tuliyomo ni ya useful idiots like you kutamalaki kiasi cha kuwa mtaji muhimu wa mafia group iliyojimilikisha nchi yetu!
Mazingira tuliyomo ni magumu ya malofa kama nyie kuamini wagonjwa wa akili kama maria na mange muingie mkenge na muichome nchi yenu na kuiba mali za watanzania wenzentu mkidai so called Haki..wapumbavu mwambieni mpumbavu mwenzenu mange kua hata kama ukiwa mkristo sio tiketi ya kuruhusiwa kufanya uhalifu nchini na kutaka kupindua serikali
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...

Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Samia ni mzima kweli kichwani?
 
Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...
Zombi ni yule bi chura kiziwi anayeogelea kwenye damu za mliowaua bila hatia
 
Njoo hapa billionaires club vip Kigali unywe bia wewe fara nikuelezee ugonjwa alionao fara wenu mange...anamuandikia trump atulipue watanzania kwa mabomu...huyo ni mtu ama zombie tu...kaona maandamano yamefeli watanzania wamechagua amani, anataka tufe wote ...na pimbi fara kama wewe unaona ana akili sana
CCM ni chama cha magaidi inabidi mlipuliwe wote mapimbi nyie!
 
Zombi ni yule bi chura kiziwi anayeogelea kwenye damu za mliowaua bila hatia
Waliouliwa ni wahalifu waliokua wanachoma nchi na kutaka kupindua serikali
 
Huwez kumuambia trump atulipue watanzania...tutaenda kuishi wapi...yan ni ugonjwa wa akili kabisa huo...eti wakristo wamekufa wengi...
Alipue macccm sio watz wote, usichanganye mambo!
Macccm wale real ni kikundi kidogo cha watu hawazidi hata 1000 achana na nyie chawa & wafuata mkumbo.

Kinatumwa kitu kizito wakiwa kwenye lile kusanyiko lao pale Dodoma Convention Center...nchi itakuwa imekombolewa!.
 
Mazingira tuliyomo ni magumu ya malofa kama nyie kuamini wagonjwa wa akili kama maria na mange muingie mkenge na muichome nchi yenu na kuiba mali za watanzania wenzentu mkidai so called Haki..wapumbavu mwambieni mpumbavu mwenzenu mange kua hata kama ukiwa mkristo sio tiketi ya kuruhusiwa kufanya uhalifu nchini na kutaka kupindua serikali
As a moron, you ain’t worth anyone’s time!
 
Hako ka maria ni katoto ka kishua, mimi nakajua tokea kanasoma sekondari Zanaki
Hakajui chochote kuhusu maisha ya kitaa, ndio maana kanapostiposti ujinga sana wowote mbele yake, hata kamalaya mange kidogo kanajua maisha ya kitaa.
Maisha yake yote kameishi Masaki, na hakajawahi kupanda daladala wala boda, yaani hata sijui kama kanajua kuna chakula kinaitwa supu ya mapupu
Wanaojaribu kuandaa maandamano wengi wao watoto wa kishua hawana uhusiano na maisha ya mtu wa kawaida wa kule Mbagala au Gongo la mboto, hawajui anaamka vipi au anaishi vipi.

Wanayo Tanzania ya uongo vichwani mwao, waliposhindwa kutimiza lengo lao ile October 29 haraka sana watu wakawashtukia kwamba hawa watoto mayai ambao hawana uwezo wa kujenga hoja zenye mashiko.

Mange kuzimiwa ile akaunti ya whatsapp watu wa usalama walicheza zaidi ya Pele, akawa kapoteza contacts zake nyingi za Wakenya waliofanikisha ule upumbavu huku mitaani.
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...

Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Maku
 
Karma:Ccm wametua nao titawaua.mmejifanya mna vifaru policeccm,Jwtccm.mneua watoto maskini hawana wembe:Karibu mataifa magharibi US,EU karma
 
Unawezaje kumwambia Rais wa nchi nyingine sababu amewalipua kwa mabomu MAGAIDI kwenye nchi nyingine halafu umuombe msaada kwa mana ya kwamba naye arushe mabomu nchini kwetu

Hawa watu ni wazima kweli? Mnaweza kudhania mna deal na watu kumbe tayari ni mazombi ama wamewehuka...

Watu na familia zao wanafurahia krismasi wako bize wanatuma video za machafuko wakidai eti watu wameamka ..nawaonea huruma hao na familia zao...wakati mwingine hata familia ya mzee Sarungi ambaye amekuwa mtu wa heshima nchi hii ana histtoria kubwa wakiona ndugu yao anawehuka kwa kiasi hiki ni jambo la kuumiza sana..
Kwenye vita hakuna kuchaguliana silaha. You are very judgemental!
 
Waliouliwa ni wahalifu waliokua wanachoma nchi na kutaka kupindua serikali
Backup hoja yako kwa sheria na vifungu vinavyotoa uhalali wa hayo unayosimamia.

Kumbe Sheikh Majini naye alitaka kupindua nchi
 
Wameelimika kuliko wewe, lazima. Wamesoma, na wamesafiri sana, wana exposure kubwa sana.

Hata wazazi wao walikuwa wasomi. Mmoja alikuwa Professor yaani PhD ya kweli.

Sasa offspring kama hiyo utalinganisha na wewe? Sorry it is fact
Wanakosa ushawishi wa mtanzania wa kawaida anayetakiwa aingie barabarani kuandamana, wanapowaambia 'nyinyi nendeni' au 'nyinyi tangulieni' maana yake huyo anayetakiwa kuingia mtaani lazima kwanza ahisi wewe unayemshauri upo katika ngazi sawa na yeye kimaisha.

Wanapoonwa kwamba wao ni matawi ya juu moja kwa moja ujumbe wao umeshadharauliwa na hawa vijana wa huku mitaani. Matokeo yake vijana ile juzi wakawa wanawatumia ujumbe wa kuwachora wakiwaambia tupo tayari hapa Ubungo wakati ukweli vijana wapo Coco Beach wanapunga upepo.
 
Rubbish...insanity ...maandamano yamefeli...tarehe 9, failed, 25 failed ..have you asked your self why...sababu watanzania most of them wameona walikua wnaaingizwa kwenye mtego wa kuichafua nchi yao wenyewe na kua sehem ya kikundi Cha wahalifu Cha kupindua serikali na nchi...
"Failed"?
Umezungumza na Samia Suluhu Hassan kakuhakikishia hayo, au unajisemea tu mwenyewe kwa vile ni nguruwe tu unayefugwa naye, huku ukitegemea utaendelea kupata makombo ya chakula anayokutupia chini?

Ungekuwa ni mtu mwenye akili timamu, wala usingethubutu kuandika na kuwa na matumaini kuwa kuna kilicho-'fail'.

Naona hapo chini, nguruwe mwenzio, 'Steven Joel Ntamsana' akifikiri makombo ya Samia mtaendelea kuyafaidi. Siyo Tanzania hii, katafuteni nchi nyingine; sana sana labda megueni hicho kipande chenu, mkavurugane huko wenyewe kwa wenyewe.
 
Ila hao kwa uwezo wao wangechaguwa kuunga mkono ssm, wangekuwa mawazirii wakubwa. Ni mwanamke gani ktk uongozi huu anakaribia uwezo wa Maria Salungi? tukiacha ushabiki ,anzia na huyo Asha Migiro na wengine woote.
 
Back
Top Bottom