Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
××××××××××
UFAFANUZI: Sijamuunga Mkono Lema (ukiacha haki yake ya kujieleza), wala sijadharau harakati za Mange Kimambi, kwa Lema ambaye ni kiongozi kuhangaika na mtu asiye wa chama chake ambaye wala si kiongozi huko kwao ccm ni kupoteza muda bure.
Nieleweke hivyo, Msinilishe maneno.