Wake wapi baada kuisema/kutofautiaba na ccm?Kwani mtu akiwa CCm hawezi kuikosoa au kuipinga CCM ?
Mifano ipo hai Slow slow. Nchimbie and the like 😳 !
Another bad callt from you, unfortunately!Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
Sina shaka yeye mwenyewe atajiona kuwa mjinga sana kwa kutoa mifano kama hiyo!Wake wapi baada kuisema/kutofautiaba na ccm?
Hata mimi naunga mkono tamko lake. Wanaompinga Lema ni Project.Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
Wala sijabisha, ninapinga Lema kumjadiliKwani mtu akiwa CCm hawezi kuikosoa au kuipinga CCM ?
Mifano ipo hai Slow slow. Nchimbie and the like 😳 !
Samia aliupiga mwingi kabla ya kukengeukaNakushauri usichukue upande,
Kaa katikati ili usiwe biased katika maamuzi.
Ikiwa kumpokea Samia ni kosa, Mbowe alikuja hadharani na kutwambia Samia aupiga mwingi,
Tena mlimpa na Jina Alhaji Mbowe.
Unakosea sana! Hoja yangu ilitaka Lema ajikite kwenye hoja zake binafsi, ajitetee mwenyewe bila kumhusisha Mange ambaye siyo Mwana ChademaNimeanza kukudharau sana.....
Hata lema aliupiga mwingi kabla ya kutwambia tusilaumu Serikali,Samia aliupiga mwingi kabla ya kukengeuka
Lema naye ni mwanachama wa tlp, if the past counts.Mange ni mwanachama wa ccm
Hapo ndipo mnapokosea wanachama wa Chadema, vipi kuhusu Msigwa?
Mange ni mwana CCM lakini anasimamia kwenye ukweli na haki.
Ana mchango mkubwa kwa taifa hili, nyie miaka nenda miaka rudi hamjawahi kuungwa mkono kwenye maandamano yenu hata na wanachama wenu, lakini umeona nguvu ya Mange?
Nyie wengi mnanunulika kwa vipande vya pesa tena mkiwa ndani ya nchi lakini Mange kakaza na yupo nje..!!
Kuhusu suala la kumpokea na kupiga picha na Samia na kukumbatiana naye pindi alipoenda USA. Maelezo yake yapo wazi.
Kwa kipindi kile alijua Tanzania imepata tumaini jipya baada ya mtangulizi wake Magu kuikanyaga katiba.
Na kama unakumbuka Samia aliingia kwa 4R ili kurekebisha yote yaliyopita na kuleta umoja wa kitaifa..!! Kilichotokea wote si tumekiona?
Hapo ndipo hoja ya Mange ilipo, alikataa uonevu na ukanyagaji wa katiba ule ule alioupinga hivyo aligoma kula matapishi yake..!!
Mange ana misimamo na bado ataendelea kuaminiwa kuliko nyie walamba asali mnaojinasibu mpo pamoja na wananchi..!!
Hakuna kitu kama hiko..!!Alikuwa anasalandia passport yake iliyoexpire na kupigwa pini na Ngosha, baada ya kupata passport kazi ikaanza upya, kifupi naye NI project ya watu Fulani fulani ughaibuni kulinda maslahi yao Tanzania... ( Yuko blackmailed, analazimika kuyafanya hayo kila wahusika wanapotaka kupush mambo yao)..
Hiyo ni kazi atakayoifanya miaka yake yote, either afe au siku wamuuze kule alikolitibua.
Dunia ina hesabu zake, ukienda hovyo lazima unase.
ndani ya viunga vya Hodeidah port-Yemeni.
😁😁Mange ni key person ambae anatoa updates ambazo hakuna mwanasiasa anayezitoa, anaelimisha nini Watanzaia wanapaswa kuelewa, amerisk maisha yake.
Keypads WARRIORS Tungepunguza ujuaji sana ingependeza !Sina shaka yeye mwenyewe atajiona kuwa mjinga sana kwa kutoa mifano kama hiyo!
Humu JF mara nyingi tunafanya 'assumption' isiyokuwa sahihi, kwamba wachangiaji wengi wanao ufahamu wa wanachochangia!
Kumamayo Wala wewe Lema HUWEZI kurndesha cdm... Unafrwa ww!.Anayoyafanya Mange hayawezi kumuondolea uanachama wake wa ccm
Na kama utanielewa kwenye andiko hili ni hivi, sijafurahishwa na Lema kumjadili Mange, na napenda kukuhakikishia kwamba Chadema haiendeshwi na Mange.