Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
MAnge hana ushawishi ndani ya ChademaHata El alliwahi kuwa MwanaCCM akaja kuwa mgombea Urais CDM na baadaye akarudi CCM...hivyo hivyo Kwa Msigwa, Nyalandu nk.
Lema sio chizi, mpaka amemtaja Mange maana yake anajua influence yake kwa sasa ndani ya CDM, Lema ni mjumbe ndani ya halmashauri kuu ya CDM na ni mtu wa ndani huko pia.
ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni