ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,436
- 4,756
Namna unavosema Think Tank ya Chadema ni Kimange KimambiKamanda ebu acha kupotosha umma. Ukisema kisa Mange alimpokea Samia kule Marekani basi huyo si mwanachadema unakua unatuona sisi ni mambumbu kabisa. Kwani Mh.Mbowe sini kamanda ..na mjumbe wa kamati kuu. Mbona ameshiriki matukio mbali mbali yakiongozwa na Rais Samia? Kuhusu Mange ,ukweli ni kua huyu binti ndiye kwasasa think tank wa CHADEMA.Mange kila anachoshauri au kusema makamanda tunatii na kutekeleza.. kwahiyo uwezi kumtenganisha Mange na CHADEMA yetu.