Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kamanda ebu acha kupotosha umma. Ukisema kisa Mange alimpokea Samia kule Marekani basi huyo si mwanachadema unakua unatuona sisi ni mambumbu kabisa. Kwani Mh.Mbowe sini kamanda ..na mjumbe wa kamati kuu. Mbona ameshiriki matukio mbali mbali yakiongozwa na Rais Samia? Kuhusu Mange ,ukweli ni kua huyu binti ndiye kwasasa think tank wa CHADEMA.Mange kila anachoshauri au kusema makamanda tunatii na kutekeleza.. kwahiyo uwezi kumtenganisha Mange na CHADEMA yetu.Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Mange ni mwanachama wa ccmKamanda ebu acha kupotosha umma. Ukisema kisa Mange alimpokea Samia kule Marekani basi huyo si mwanachadema unakua unatuona sisi ni mambumbu kabisa. Kwani Mh.Mbowe sini kamanda ..na mjumbe wa kamati kuu. Mbona ameshiriki matukio mbali mbali yakiongozwa na Rais Samia? Kuhusu Mange ,ukweli ni kua huyu binti ndiye kwasasa think tank wa CHADEMA.Mange kila anachoshauri au kusema makamanda tunatii na kutekeleza.. kwahiyo uwezi kumtenganisha Mange na CHADEMA yetu.
Mange ni mwanachama wa ccm
Anayoyafanya Mange hayawezi kumuondolea uanachama wake wa ccmMkuu humu ndani umejijengea heshima kubwa sana kuhusu mambo ya upinzani ila kama hadi wewe umeungana na Lema ktk hili, itoshe tu kusema mmeamua kuwakataa Watanzania.
Mange ni key person ambae anatoa updates ambazo hakuna mwanasiasa anayezitoa, anaelimisha nini Watanzaia wanapaswa kuelewa, amerisk maisha yake. Lissu alikataa katakata kufanya maridhiano, Heche ni boss wa Lema, kama kuna maagizo ya Lissu basi Heche ndio Mhusika wa kuyatekeleza. Lissu hakuomba atolewe nje bali alisema yupo tayari kwa lolote ila haki ipatikane, baada ya hapo Lema akaenda kupost kitu ambacho kilihuzunisha wananchi waliokuwa na imani ndani ya Chama.
Kwa sasa upinzani tunauona ndani ya CHADEMA kupitia Lissu na Heche, wote wasaliti tutaona wakiondoka, hata ninyi pia msiokuwa na uadilifu mneanza kuungana na Lema na Mbowe. Kila la heri huko muendako ila kumbukeni mpandacho leo ndicho mvunacho kesho.
Mkuu humu ndani umejijengea heshima kubwa sana kuhusu mambo ya upinzani ila kama hadi wewe umeungana na Lema ktk hili, itoshe tu kusema mmeamua kuwakataa Watanzania.
Mange ni key person ambae anatoa updates ambazo hakuna mwanasiasa anayezitoa, anaelimisha nini Watanzaia wanapaswa kuelewa, amerisk maisha yake. Lissu alikataa katakata kufanya maridhiano, Heche ni boss wa Lema, kama kuna maagizo ya Lissu basi Heche ndio Mhusika wa kuyatekeleza. Lissu hakuomba atolewe nje bali alisema yupo tayari kwa lolote ila haki ipatikane, baada ya hapo Lema akaenda kupost kitu ambacho kilihuzunisha wananchi waliokuwa na imani ndani ya Chama.
Kwa sasa upinzani tunauona ndani ya CHADEMA kupitia Lissu na Heche, wote wasaliti tutaona wakiondoka, hata ninyi pia msiokuwa na uadilifu mneanza kuungana na Lema na Mbowe. Kila la heri huko muendako ila kumbukeni mpandacho leo ndicho mvunacho kesho.
Unaweza kuwa Chadema lialia ila Kuna taarifa hunaNampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Ni kweli, lakini Mange ni mwanaccmUnaweza kuwa Chadema lialia ila Kuna taarifa huna
Pole sana
Kuhusu u CCM au upinzani karibia kizazi Cha 1990 kurudi nyuma wote ni CCM ila wamebadilika na wanaoinjinia Mapambano ya ukombozi wengi walikuwa CCM , ila Hali iliwabadilishaNi kweli, lakini Mange ni mwanaccm
HayaMbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2027???
Shikamooni,habarini..Mch Mbarikiwa Mwakipesile ni miongoni mwa watu wachache wanaojipambanua kuihubiri INJILI ya kweli (INJILI kwa vitendo) duniani kote na pengine ni mhubiri pekee anayehubiri INJILI ya kweli pekee kwa Tanzania.
Naandika kuwa atakuja kupata zawadi ya Nobel ya amani ambayo kiuhalisia huangalia watu wanaogusa maeneo mbalimbali ya kimaisha.
Tuonekwanza maana ya tuzo hii
Tuzo ya amani ya Nobel ni tuzo ya kimataifa yenye heshima kubwa inayotolewa kwa mtu, kikundi, au shirika lililofanya kazi kubwa zaidi au bora zaidi ya kukuza udugu kati ya mataifa, kupunguza au kufuta majeshi, na kuandaa au kuendeleza mikutano ya amani
Miongoni mwa sababu zitakazomfanya Mch Mbarikiwa Mwakipesile kupewa tuzo hii
1.Kutokulipiza kisasi
2.Kuwa mhubiri pekee ambaye Yuko tayari kuwa na utajiri mdogo kuliko washirika wake
-mfano, Nimeona muumini wake Robert Mwaikwila(samahani kama jina la pili limekosewa) mumoja akitajwa kwa utajiri mkubwa zaidi ya Mbarikiwa Mwakipesile ambaye ni MCHUNGAJI wake miaka mingi na siyo kwamba alimkuta na utajiri HUO
3.Anafundisha sana "umhimu wa utu" katika kila akihubiri
-binafsi ukiniuliza lengo kuu la Mch Mbarikiwa Mwakipesile kuihubiri INJILI nitakujibu kuwa anahubiri Ili watu wote wawe na utu
4.Ameandika vitabu vyenye mvuto wa kidunia ambapo
Ameandika vitabu vya;
A. WANADINI NDIO KIKWAZO KIKUU CHA UKOMBOZI HALISI WA WANADAMU DUNIANI
B.SOLUTION (SULUHU):Nina SULUHU la nini kifanyike ili duniani pawe salama na pazuri kuishi kuliko ilivyo sasa
5.Ameimba nyimbo zenye mguso wa kweli kiroho na kimwili
Kwaufupi ndivyo niwazavyo