Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
-
- #21
MAnge hana ushawishi ndani ya ChademaHata El alliwahi kuwa MwanaCCM akaja kuwa mgombea Urais CDM na baadaye akarudi CCM...hivyo hivyo Kwa Msigwa, Nyalandu nk.
Lema sio chizi, mpaka amemtaja Mange maana yake anajua influence yake kwa sasa ndani ya CDM, Lema ni mjumbe ndani ya halmashauri kuu ya CDM na ni mtu wa ndani huko pia.
ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
hahahaNampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Kamanda ujajibu hoja... Kwahiyo Mbowe nae ni CCM? Au makamanda wanaolipa kodi kwa serikali ya CCM nao ni CCM maana uwezi kulipa kodi kwa serikali inayo ongozwa na CCM.ILA MAKAMANDA BHANAMange ni mwanachama wa ccm
Hujanielewa kabisaWewe Erythrocyte unajulikana ni pandikizi la Mbowe ndani ya CHADEMA kwahiyo umepata nafasi ya kutetea upande wako leo. WanaCHADEMA wanamwamini Mange na taarifa zake kwahiyo Lema anastahili kupuuzwa kwa sasa. WanaCHADEMA wako sahihi sana kumsikiliza Mange na Maria badala ya viongozi wao rasmi. ACHA KUSALITI HARAKATI.
CHADEMA Ina halmashauri kuu?Hata El alliwahi kuwa MwanaCCM akaja kuwa mgombea Urais CDM na baadaye akarudi CCM...hivyo hivyo Kwa Msigwa, Nyalandu nk.
Lema sio chizi, mpaka amemtaja Mange maana yake anajua influence yake kwa sasa ndani ya CDM, Lema ni mjumbe ndani ya halmashauri kuu ya CDM na ni mtu wa ndani huko pia.
ndani ya viunga vya Hodeidah port - Yemeni
Ndio msemaji wa Chadomo ya Kibaraka LisuNampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Kwani mtu akiwa CCm hawezi kuikosoa au kuipinga CCM ?Ni kweli, lakini Mange ni mwanaccm
Hiyo haiondoi ukweli ya yale anayoyasemaMange ni mwanachama wa ccm
MAnge hana ushawishi ndani ya Chadema
CHADEMA Ina halmashauri kuu?
Au hauna akili.
Huwezi kutofautisha la Mange, la TEC na la CHADEMA. Usianze kumkana Mange leo, kesho utawakana na TEC...Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
View attachment 3702732
Bali kumjadili Mange Kimambi kwenye hotuba yake haikuwa sahih, hii ni kwa sababu Mange si Mwanachadema, hana ushawishi kwenye chama, na ni kada wa ccm ambaye alihusika kwenye mapokezi ya Samia Marekani na wakakumbatiana.
Mange si mwanachadema, lakini anayosema wana chadema wote mnashangiliaNampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa