Mange Kimambi ni kada wa CCM, alihusika kumpokea Samia Marekani, Kumjadili ni kupoteza muda bila sababu

Wake wapi baada kuisema/kutofautiaba na ccm?
Sina shaka yeye mwenyewe atajiona kuwa mjinga sana kwa kutoa mifano kama hiyo!
Humu JF mara nyingi tunafanya 'assumption' isiyokuwa sahihi, kwamba wachangiaji wengi wanao ufahamu wa wanachochangia!
 
Nampongeza Godbless Lema kwa kujitokeza hadharani kufafanua yanayomhusu, ni ujasiri mkubwa hasa kwa siasa za sasa
Hata mimi naunga mkono tamko lake. Wanaompinga Lema ni Project.

Mange Kimambi aligombea Ubunge Kinondoni kupitia CCM. Nilipishana naye kavaa ngui za kijani akisindikizwa na wale vijana wa Mwananyamala wanaopiga kigoma cha Urugwai pamona na wakina mama waliovaa madela ya CCM wa UWT. Awaache viongozi wetu wapige kazi.
 
Nakushauri usichukue upande,

Kaa katikati ili usiwe biased katika maamuzi.

Ikiwa kumpokea Samia ni kosa, Mbowe alikuja hadharani na kutwambia Samia aupiga mwingi,

Tena mlimpa na Jina Alhaji Mbowe.
Samia aliupiga mwingi kabla ya kukengeuka
 

Alikuwa anasalandia passport yake iliyoexpire na kupigwa pini na Ngosha, baada ya kupata passport kazi ikaanza upya, kifupi naye NI project ya watu Fulani fulani ughaibuni kulinda maslahi yao Tanzania... ( Yuko blackmailed, analazimika kuyafanya hayo kila wahusika wanapotaka kupush mambo yao)..

Hiyo ni kazi atakayoifanya miaka yake yote, either afe au siku wamuuze kule alikolitibua.

Dunia ina hesabu zake, ukienda hovyo lazima unase.

ndani ya viunga vya Hodeidah port-Yemeni.
 
Hakuna kitu kama hiko..!!
 
Sina shaka yeye mwenyewe atajiona kuwa mjinga sana kwa kutoa mifano kama hiyo!
Humu JF mara nyingi tunafanya 'assumption' isiyokuwa sahihi, kwamba wachangiaji wengi wanao ufahamu wa wanachochangia!
Keypads WARRIORS Tungepunguza ujuaji sana ingependeza !
 
Anayoyafanya Mange hayawezi kumuondolea uanachama wake wa ccm

Na kama utanielewa kwenye andiko hili ni hivi, sijafurahishwa na Lema kumjadili Mange, na napenda kukuhakikishia kwamba Chadema haiendeshwi na Mange.
Kumamayo Wala wewe Lema HUWEZI kurndesha cdm... Unafrwa ww!.
 
Mkuu, utanisamehe ila acha leo nikuingize katika IGNORE LIST.
 
Wewe ni Chadema toka zamani
Sasa ndio mjue mmevamiwa na kundi kubwa la washamba wa vijijini ambao hawajui chochote kuhusu siasa za upinzani na mipango ya ushindi ndio maana CCM imeamua kuwazimisha na kuwatimbatimba sasa lijitu la maporini hata ulieleweshe vipi halina akili ya kuelewa
Angalia sasa na wewe wanakuita msaliti kwa kujaribu kuwaelewesha kuhusu mange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…