Mange Kimambi ni kada wa CCM, alihusika kumpokea Samia Marekani, Kumjadili ni kupoteza muda bila sababu

Nitajie vitu vitatu alivyoshauri mange na chadema wakafuata ewe binti wa kicccm
 

Unaongea ujinga afu unawek space kubwa
 
Lema asitishe chama kama ni kutembea atembee , hakuna wakati chadema ipo na nguvu kama sasa
 
Nakushauri usichukue upande,

Kaa katikati ili usiwe biased katika maamuzi.

Ikiwa kumpokea Samia ni kosa, Mbowe alikuja hadharani na kutwambia Samia aupiga mwingi,

Tena mlimpa na Jina Alhaji Mbowe.
Mange mwenyewe alishasema na kukiri kuhusu suala la kumpokea Samia , kaendelea kusema... hakujua kama Samia angekuja kuwa Katili kiasi hiki...
 
Mange mwenyewe alishasema na kukiri kuhusu suala la kumpokea Samia , kaendelea kusema... hakujua kama Samia angekuja kuwa Katili kiasi hiki...
Ni kama tu mtanzania ambavyo hawakuwahi kutegemea Mbowe kupanda jukwaani amelewa nzwiiiii!
 
Kamanda,

Hii migongano inatuonesha nini? CCM wanashinda lengo lao la kuwagawanya CHADEMA kwa CHADEMA, na pia kugawanya CHADEMA na wanaharakati?

Leo hii badala ya kuwa katika kumbukumbu ya mauaji yaliyoanzia October 29 2025, maongezi yametoka huko yamehamia kwa Lema.

Leo hii badala ya kuongelea kujipanga na hukumu ya Lissu, inayokuja karibuni, maongezi yamehamia kwa Lema.

Leo kuna msiba wa familia ya Lissu, mtu anaenda kupigana mawe na kina Mange mitandaoni?

CCM mnawasema sana kwa kubadilisha maongezi, hapa wamewashinda? Hapa kabadili maongezi CCM au mmejipiga goli la kujifunga wenyewe, own goal tu?

Lema kwa kusema tunajua alitumia haki yake ya kisiasa, kikatiba na kibinadamu, lakini je, alijenga au alibomoa?

Ni bora alivyosema au bora angekaa kimya tu?
 
naona we jamaa bado uko kwenye mtandao wamboee
 
CDM ilifanya ujinga sana kuwapa chama wakiendeshe wanaharakati mange na sarungi. Huo mtego hamtoki leo wala kesho. Kama mnaakili jitengeni nao sasa kwa huu upepo wa Lema.
 
Angesemea chooni Ingefaa zaidi,

Kuliko kuita press kulipa pesa ili kumchamba Mange
 
Ukweli mchungu lema ni dalali na sio lema tu, wanasiasa wemgi bongo ni janja janja, nashkuru mungu niliwashtukia kitambo, kabla ya mbowe kubadilika..
Mie huwezi nikuta nimeandamana kisa mwanasiasa, wala naenda kushinda juani kisa mwanasiasa..
just imagine wale waliovunjwa mifupa kisa mbowe
Waliotolewa meno kisa yule mzee akaja kupewa ubalozi
waliopasuka kisa msigwa
Na wengineo wengi...
msishangae hata lisu akaja lupata madaraka na akatugeuka, akajilimbikizia mali kama kawaida.
 
wewe jamaa naona bado uko kwenye mtandao wa tapeli Mbowe
 
Kwanza kabisa nikili mimi sio mwandishi mzuri kitu kitakachopelekea ujumbe usifike kama nilivokusudia
Alichoongea lema nahisi yupo sahahihi kwasababu chadema ni sehemu ya demokrasia mtu anapaswa kuonesha mawazo tofauti na hatupaswi kumfanya lema kakosea kama ccm walivofanya kwa nchimbi
Lema inaweza ikawa ana wazo bora aitwe asikilizwe hata sisi hatutamani watu waendelee kupotea inachotakiwa ipatikane njia bora itakayolinda viongozi dhidi ya hii adha
Mwisho maridhiano na serikali yatapatikana kama kamati imejiridhisha na wasuruhishaji
 
Umetumia ushawishi wako wa humu JF vibaya. Soma alama za nyakati.
 
Mbowe kwa sasa ni mwanaccm kama alivyo Mange Kimambi
 
Wewe ni Mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…