Namna unavosema Think Tank ya Chadema ni Kimange KimambiKamanda ebu acha kupotosha umma. Ukisema kisa Mange alimpokea Samia kule Marekani basi huyo si mwanachadema unakua unatuona sisi ni mambumbu kabisa. Kwani Mh.Mbowe sini kamanda ..na mjumbe wa kamati kuu. Mbona ameshiriki matukio mbali mbali yakiongozwa na Rais Samia? Kuhusu Mange ,ukweli ni kua huyu binti ndiye kwasasa think tank wa CHADEMA.Mange kila anachoshauri au kusema makamanda tunatii na kutekeleza.. kwahiyo uwezi kumtenganisha Mange na CHADEMA yetu.
Je ilielezwa ni sababu zipi chadema hawatashiriki uchaguzi?Kususia uchaguzi,kuandika matusi,kushangiria vifo nk
Sidhani kama uliimaanisha hivyo,nachojua hujui unachokisema.Vyovyote vile itakavyokuwa, namaanisha ngazi ya juu zenye kutoa maamuzi.
ndani ya viunga vya hodeidah port - Yemeni.
Hii "Keypads WARRIORS" umeijua lini, nani kakufundisha takataka hiyo?Keypads WARRIORS Tungepunguza ujuaji sana ingependeza !
Tulisusuia uchaguzi ila tulitaka kupindua na kuingia IkuluJe ilielezwa ni sababu zipi chadema hawatashiriki uchaguzi?
Aisee wewe ni hasara mno najua hilo swali hauna uwezo wa kunijibu wewe wala bwanawako wasiraTulisusuia uchaguzi ila tulitaka kupindua na kuingia Ikulu