Mange Kimambi: Nikiongea mengi kuhusu Kapteni Tesha nitaharibu. Jueni yuko Uraiani nje ya nchi

Huyu dada ni pepo wachafu wako ndani yake.
Safari hii hao Pepo wachafu tutawaamuru wakamuue yeye mwenyewe.
Watanzania wamekufa still analeta propaganda zake
Machawa mkisikia uasi mnajinyeanyea mshazoea kupata vya bure kupitia, wananchi wakiuwawa Sasa muda sio mrefu na nyie mtaanza kulengwa risasi
 
Wee nae una source gani? Muongo wee.
 
Mafwele mwenyewe alikiri kuwa Tesha kakimbia nchi Sasa ww maamuma wa hapo kijiwe samli unataka bisha Nini?!
 
Uduguu umechafukwaaa!!
 
Mkuu wewe ndio muongo. Mafwele kwenye clip iliyovuja alisema Tesha muhuni muhuni ametoroka nchini yupo nje ya nchi.

Kuhusu polepole, kaka yake juzi alithibitisha kuwa polepole bado ni mzima Ila anaumwa wamegoma kumpeleka hospital.
 
Tesha yupo nje ya nchi, hata mafwele kwenye clip yake aliyorikodiwa akitisha maafisa wa polisi alisema.
 
Hizo source zako za kuunga unga 😹
Polepole mzima na Kaka yake aliongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…