Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Acha wivu wa kikeKimambi kamtu kenyewe kabaya kamekomaa uso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu wa kikeKimambi kamtu kenyewe kabaya kamekomaa uso
Mkuu wew Ke au Me? Samahani lakini!Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner![]()
Asante kwa kunijuza nilidhani ni mtaa huko darisalamaKiki ni pikipiki zinazozalishwa huko Cambodia
Magufuli naye ni kutafuta kiki kwa lazima kwa kugombania ukurasa wa mbele kwenye Magazeti????Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner![]()
Mi najua alianza kitambo baada ya bunge kuwekwa gizaniNgachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner![]()
Kaongea kwa kujokey tu ,yaan ni kama kimasihala tub
= jock
= kimasihara
Jockey ni waendesha farasi wa mashindano:
![]()
Horse sense: champion jockey Hayley Turner riding the Queen's horse Tactician at Royal Ascot...
Darsa linawaingia.
Darasa au darsa? Nisaidie hapo bibie
Darasa ni kile chumba au sehemu linapotolewa darsa.
Darsa ni yale anaotowa anaefunda.
JF ni darasa, mimi nnawapa darsa.
Haya umeshinda! Anayetoa* sio anaotowa
Nyie wenye vyeti mnafanya nini US? Kutwa kwenye mitandao kutafuta kiki, kama unataka kufoji vyeti kafoji na weweKama we ni type ya Bashite huwezi mwelewa Mange, endelea tu kuchukua post zake na kuleta hapa, ni wasio na vyeti fake tu ndio watamuelewa