Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Mange Kimambi: Nimepata kiki ya kutosha

Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Mkuu wew Ke au Me? Samahani lakini!
 
kama mwanaume basi utakua kwenye list ya kigwangala
 
kutukana na kuvamia kituo tena kwa silaha lipi kosa kubwa kisheria au kwakua ney sio msukuma inchi inaenda kibaguzi hii sasa
 
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Magufuli naye ni kutafuta kiki kwa lazima kwa kugombania ukurasa wa mbele kwenye Magazeti????
 
Ngachoka mie, kwa hiyo drama zote zile ulikua unatafuta kiki? Sasa kumbe ulikua unamuonea wivu makonda alivyokua anatoka kwenye magazeti kila siku eeh? Ukaamua sasa umchafue weee, dah tutajionea mengi mwaka huu, dah hizi kiki mwaka huu hatari, na umefanikiwa kwa kweli, kazana kuitukana serikali, but remember karma is around the corner
8c073e910b923115f9dd82c322fc414b.jpg
Mi najua alianza kitambo baada ya bunge kuwekwa gizani
 
Kaongea kwa kujokey tu ,yaan ni kama kimasihala tub

= jock
= kimasihara

Jockey ni waendesha farasi wa mashindano:

Horse_2357714b.jpg

Horse sense: champion jockey Hayley Turner riding the Queen's horse Tactician at Royal Ascot...
 
Kama we ni type ya Bashite huwezi mwelewa Mange, endelea tu kuchukua post zake na kuleta hapa, ni wasio na vyeti fake tu ndio watamuelewa
Nyie wenye vyeti mnafanya nini US? Kutwa kwenye mitandao kutafuta kiki, kama unataka kufoji vyeti kafoji na wewe
 
Back
Top Bottom