Yule Mwanamke kampenda yule Mwanaume hata ukiangalia mahojiano yake alikuwa ana tamani Van amrudieMtanga nae kwani kilimuondoa nini na kinamrudisha nini bwana na kiuno chake kigumuuuu!!!! Hebu amuache mtoto Paula ajilie vyake
Uzuri yule mchaga huwa ana akili, bila shaka yupo na plan zakePole yake avumilie ila Mwanamke wa kichaga sio mjinga akimuacha huyu baba G ana maendeleo ya maana
Sasa kwanini aliondoka? Au alikua nae kishajiona maarufu anaweza kuendelea bila van boy?Yule Mwanamke kampenda yule Mwanaume hata ukiangalia mahojiano yake alikuwa ana tamani Van amrudie
Huo ndio ukweliUzuri yule mchaga huwa ana akili, bila shaka yupo na plan zake
Van boy mda mwingi alikuwa kwa paula mwisho akachoka kulala peke yake usiku akajiuongeza.Sasa kwanini aliondoka? Au alikua nae kishajiona maarufu anaweza kuendelea bila van boy?
Paula kwenda nje kumemfanya van arudishe mpira kwa kipa.....Van boy mda mwingi alikuwa kwa paula mwisho akachoka kulala peke yake usiku akajiuongeza.
Enzi hizo akiwa na Van boy alikuwa anajiona ana K ya peke yake akihojiwa sasa βVan awezi kuniacha mara Van nimezaa naeβπππkimebadili dini lakini wapii Mwanaume wa kumlia yamini πππPaula kwenda nje kumemfanya van arudishe mpira kwa kipa.....
Ila kile kimwanamke ni king'ang'anizi yani hakikubali kuachika ππ
Alikuaga anajiona pizza fahima πππ mashauzi aaagrr, ila namsifu kajitahidi kuwa strong mbele ya dunia hajaonesha stress angekua ni mwingine hadi angechakaa, nadhani sahivi adabu itakua A+Enzi hizo akiwa na Van boy alikuwa anajiona ana K ya peke yake akihojiwa sasa βVan awezi kuniacha mara Van nimezaa naeβπππkimebadili dini lakini wapii Mwanaume wa kumlia yamini πππ
Na paula akirudi kama kawaida anarudisha majeshiπππAlikuaga anajiona pizza fahima πππ mashauzi aaagrr, ila namsifu kajitahidi kuwa strong mbele ya dunia hajaonesha stress angekua ni mwingine hadi angechakaa, nadhani sahivi adabu itakua A+
Mi nipo na Paula πππNa paula akirudi kama kawaida anarudisha majeshiπππ
πππwatauwana mwisho kugombania dudu la yuyuMi nipo na Paula πππ
Akirudi aendelee alipoishia yani
Hapo ni kila mtu kupambana kwa mganga wake πππ wanaume wanatabu sanaaaπππwatauwana mwisho kugombania dudu la yuyu
van boy,Chui anaenda kuwa ndondocha soon kama boss wake Simba ππππHapo ni kila mtu kupambana kwa mganga wake πππ wanaume wanatabu sanaaa
kazi ni kazi mzee, wapo wasomi huko ulaya na wanashona nguo,ku fail form four sio kitu chochote,anaweza fail ila huko akaendelea mpaka degreePaula alifeli form four, uturuki labda kaenda kusomea cherehani.
Hivi J kwa kiswahili ni Y?Kwahiyo John wa Marekani akija kusoma bongo ataitwa Yohana?
Yule mtoto aliyekuja kutupiwa studio kwani sio mwanae!?Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
[emoji3][emoji3]huruma tena?muache apambane na wanaume wa Wasafi ndo atajua hajui!Serious??? Namuonea huruma Paula....