Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Sijaelewa maana ya kukalia mpini
 
Hayahaya, mama mtu katuma kitambulisho cha chuo anachosoma mwanaye[emoji4]

View attachment 2002390
Ina maana hakuna Herufi za Kituruki za jina PAULA PETER ....ngoja nisubiri wajuvi wa mambo ya International Students waje wanisaidie inawezekana International laws haziruhusu jina la mwanafunz wa nje liandikwe kwa lugha tofauti 😎😎😎
 
Good observation mkuu...

Hiko chuo ukikigoogle homepage yake ni kituruki mwanzo mwisho....

Halafu eti vitambulisho viwe kwa lugha ingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…