Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Kwa nini unauliza wakati jibu unalo?Mpambanaji gani alioama chama?
Yericko?
Salum Mwalimu?
Amandla...
Kwa nini unauliza wakati jibu unalo?Mpambanaji gani alioama chama?
Yericko?
Salum Mwalimu?
Siasa za ovyo ni zipi? Sijawahi kumsikia Lissu akimtishia mtu kumtia ndani, kumpoteza au kumchoma sindano ya sumu. Sijawahi kumsikia akimtukana mtu yeyote matusi ya nguoni. Wanaofanya hivyo wanajulikana na wengi wao hawagusiki.Acha unafiki we mwanamke, Lissu hateseki anakula vizuri, analala pazuri wako wanaoteseka kule gerezani, pili Lissu amejitakia hawezi kuachwa kwamba anaogopwa? Yule mnyaturu ana siasa za hovyo, hawezi kuendesha siasa safi?
Tundu ni mtu wa maamuzi ya Kiimla, tumeona alichofanya ndani ya iezi 2 baada ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hashauriki na ni dikteta sawa na Magufuli tu. Kuiba mali ya umma hajaiba lakini ungempa madaraka angeiba tu!Lissu ameiba nni mkuu
Mkuu umesema yote, kunywa mirinda nyeusi nitalipaMagufuli ndiye influencer wa siasa tulizo nazo hivi Sasa nchini before yake ukiachana na nayakati za Nyerere hapakuwahi kuwa na Raisi mwenye guts kubwa kama zake za kuweza kuteka watu na kuwauwa kama vifaranga
Zile siasa za magufuli ndio zimewafanya walioshikilia mpini na wao kubadilika nakuona kumbe inawezekana kufanya kama alivyokuwa anafanya magu na Raia wasifanye chochote matokeo yake Leo hii tumefika hapa tulipo kama Taifa ,
Ni wazi kwamba Baada ya late mkapa raisi aliyefuata aliruhusu mambo mengi ya hovyo like Ufisadi uuzwaji drugs ulikuwa ni wakiwango kikubwa sana Bribe and the likes but Kwenye suala la Kuangamiza watu na kuwauwa kiholela hapakuwa na matukio makubwa na mengi ya kutisha kama ilivyokuwa wakati wa mwendazake
Wajua Kwa binaadamu ni rahisi kuvumilia baadhi ya mambo na huwenda ikamchukua muda mrefu kudai haki zake pindi Pasipo kutaka kufanya mapinduzi Kwa haraka endapo tu itakapo kuwa hakuna tishio la kuuwawa Kwa Raia wenzao lakini inapofikia hatua watu wanauwawa kama kuku halafu gavooo imwuchuna tu na kutoa kebehi Kwa victims, Yaani hapo lazima haiwezi kuchukua muda Nchi itawaka moto tu
Mimi ni Stuxnet siyo Halima Mdee, nimekopi tu makala yake kutoka mtandao wa X, zamani TwitterAcha unafiki we mwanamke, Lissu hateseki anakula vizuri, analala pazuri wako wanaoteseka kule gerezani, pili Lissu amejitakia hawezi kuachwa kwamba anaogopwa? Yule mnyaturu ana siasa za hovyo, hawezi kuendesha siasa safi?
Ukweli upi?Hampendi ukweli
mnakua kama wanawake wenye gubu
She is pro country not hizo siasa zenu za dramaUkweli upi?
Kumwabia Mange atumie akili, ndio ukweli.
Yeye ndio hataki ukweli.
Sasa hivi ana-block kila mtu huko Twitter
She is just a confused beingShe is pro country not hizo siasa zenu za drama