zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
CCM haitaki type ya JPM hivyo lissu angeshakua amefanyiwa figisu kama Gwajima, Mpina au Majaliwa.Lissu angekuwa ccm, Tz ingebahatika kupata JPM wa pili
CCM haitaki type ya JPM hivyo lissu angeshakua amefanyiwa figisu kama Gwajima, Mpina au Majaliwa.Lissu angekuwa ccm, Tz ingebahatika kupata JPM wa pili
Mange ni opportunist tu kama Sarungi, fatma karume, na kigogo, walimpinga sana JPM cha ajabu alipoingia Samia wakawageuka wapinzani na kuanza kuimba mapambio. Alipogusa tu maslahi yao ndio nao wakaanza tena kumpinga so hawa hawaaminiki kabisa. Kama anaona ni waoga aje bongo aongoze maandamano.Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
Mlete hapa aseme mwenyewe kwa mdomo wake, acha kumsemea.I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
Wewe unaifahamu namna viongozi wa Chadema wanavyowindwa? Watoke front wote huoni itakuwa mbaya na chama kinaweza kupotea. Ila Chadema tupo na Mungu. Hakuna kulala.I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
Kazi inayofanywa ya mikutano ni kubwa sana saana.Sasa anataka wote waishie jela nani ataongoza chama,kazi wanayofanya kwenye hiyo mikutano siyo ndogo wanawaandaa watu kuja kufanya mambo makubwa, watawala wenyewe hawapati usingizi kwa jinsi watu wanavyoitikia mwito na kuelewa samo.
Wanataka mpumbavu mwenzao ili washiriki kupiga pesa za umma 🔥CCM haitaki type ya JPM hivyo lissu angeshakua amefanyiwa figisu kama Gwajima, Mpina au Majaliwa.
Sheria imesema hivyo?Tumia VPN kuleta mawazo chanya lakini kama utatumia VPN kuingia na kuanza kutukana viongozi wa Serikali hawatakuacha.
Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
Mange hajawahi kuwa mwenyeji wa Samia Marekani. Alienda kumsalimia rais wake kama ambavyo Lissu alivyofanya Ubelgiji. Na hata kama ni CCM, watu wanabadilika. Mfano ni Polepole ambae hakuwahi kutoka CCM.
Amandla...
So what, na ni nani anayemuita hivyo?simunamwita dada wenu wa taifa
CCM kuporomoka ndio nguvu ya kina Mange na Maria.Kuonyesha ni kiasi gani waTanzania wamekwama, ni kuangalia mtu kama huyu binti nay anawekewa matumaini katika kuchangia ukombozi wa taifa hili.
Kiwango chetu kimeporomoka sana.
Ukiangalia ndani ya CCM yenyewe, akina Makonda ndio tegemeo ndani ya CCM.
Sijui Tanzania itatoka vipi katika mkwamo huu..
Ni kama hajaridhika na shurubu wanazopitia CHADEMA; sasa anataka wajinyonge wenyewe moja kwa moja ili hao wanaomtuma kuchochea CHADEMA kujinyonga wamalize kazi.Mange ajui tu chadema wanayo ya pitia huku mitaani,,,
Wanakufa wanatekwa na wanafungwa sana.
Cccm imewekaza nguvu zake zote kwa chadema kuhakikisha inafutika.
Hata Mimi ndiyo huwa namuona huyu Dada akili zake sio timamu. Yeye anaongea hayo yupo USA halafu anazungumzia viongozi wa CHADEMA kuwa ni wanawake?... Watanzania msiingie huu mkenge.. Hawa ni matapeli wa wanufaika na ujinga wenu period!Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
Watanzania ni gullible sana, yaani wanafanya vitu kwa mihemko tu, sasa Mange yeye ni nani mpaka awape viongozi go ahead?.. Hii Nchi ina upumbavu mwingi sanaHivi wewe unaona kazi wanayofanya Chadema kukutana na umma wa Watanganyika na kuwapa elimu ni ndogo?Anataka waandamane bila kuwaanda watu waandamane kwa sababu gani? Yeye Mange hana ujuzi wa siasa za upinzani kwenye majukwaa yeye anajua siasa za mitandaono ambapo siyo watu wengi wanazifuatilia. Wanaoandamani hiyo 7/7 wafanye hivyo ni haki yao, Chdema nao wana agenda zao kukutana na wananchi.
Actually, kuna tofauti kubwa kati ya hao wawili, Mange na Maria. Pengine hujawapa muda wa kuchambua uzito wa kila mmoja wao upoje.CCM kuporomoka ndio nguvu ya kina Mange na Maria.
Akipatikana mtawala mwenye akili timamu, wala hoja za kina Mange haziwezi kuwa na nguvu ya ushawishi.
Shida kubw aya CCM kwasasa ni rushwa, nepotism kubwa na uchawa.
Wanaokota okota watu useless kwasababu ya NEPOTISM, RUSHWA na Uchawa wanawapa uongozi halafu wanategemea mfumo wa dola ndio uwabebe.
Katika mazingira hayo, lazima watu waanze kumsikiliiza Recho Dangwa
Aaah wapi. Bado wataona tu kasoro, labda waongozwe na Malaika.CCM kuporomoka ndio nguvu ya kina Mange na Maria.