Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

Kwanini unatumia VPN kuingia mtandao uliofungiwa kwa kukosa maadili?
Sasa kazi ya VPN ni nini? Usipoingia kwenye mitandao iliyofungiwa, utaitumiaje kivingine?
 
Akina Msigwa ndio walisema hivi sio mimi.
images - 2026-06-20T225215.235.jpeg
 
Ndiye aliyempokea Samia marekani
Mange hajawahi kuwa mwenyeji wa Samia Marekani. Alienda kumsalimia rais wake kama ambavyo Lissu alivyofanya Ubelgiji. Na hata kama ni CCM, watu wanabadilika. Mfano ni Polepole ambae hakuwahi kutoka CCM.

Amandla...
 
Chadema ni watu ambao Huwa wanapenda kukosoa ila sio kukosolewa .

Mange kawaambia ukweli very positive criticism.

Chadema ni wasaka fursa na sio watafuta mabadiliko wa kweli.
 
Anakosea anaposema Chadema ni kama kinaongozwa na wanawake. Bawacha siku zote ilikuwa mstari wa mbele kupigania haki za watanzania. Wakina Halima, Salome, Catherine, Husna walikuwa wanapambana bila uoga. Hii hali ya sasa ilisababishwa na Lissu mwenyewe kwa kuona wote waliotofautiana nae kuwa maadui. Wapambanaji wengi wamehama chama na wale waliobaki sijui kimewapata nini. Kwa kweli inabidi wajipange upya.

Amandla...
Sasa baada ya kuhama si wapambane uko uko CHAUMA 😁😁
 
Yeye yuko kwa Trump huko hajui hata chungu ya kuwa mwanasiasa wa upinzani kwenye serikali hii ya wadhalimu.
Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
 
Anakosea anaposema Chadema ni kama kinaongozwa na wanawake. Bawacha siku zote ilikuwa mstari wa mbele kupigania haki za watanzania. Wakina Halima, Salome, Catherine, Husna walikuwa wanapambana bila uoga. Hii hali ya sasa ilisababishwa na Lissu mwenyewe kwa kuona wote waliotofautiana nae kuwa maadui. Wapambanaji wengi wamehama chama na wale waliobaki sijui kimewapata nini. Kwa kweli inabidi wajipange upya.

Amandla...
Huko walikohamia wamezuiwa na Lisu kufanya hayo mapambano, ama lazima wabaki cdm tu ndio wafanye mapambano? Mbowe alshindwa kihalali, kama ulitegemea madaraka yake kuendesha maisha basi imekula kwako.
 
Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
Na wewe wa kuandika hizi kauli za vijana wapumbavu wa uvccm kwa hiyo na maria sarung aje sio kujificha Kenya nachojua unaweza kuongoza mapambano ukiwa sehemu yoyote ile
 
Yaani aite watu waoga wakati yeye hayuko hapa nchini? Cdm ni taasisi na inafanya shughuli zake kwa vikao na sio kuagizwa na mtu mmoja aliyeko nje. Kama unaweza kuendeaha mapambano ukiwa popote, aanzishe chama kifanye anachowaagiza. Sio chama chenye mipango mingine akiagize hadharani kifanye kile atakacho bila kuangalia hali halisi.
 
Chadema ni watu ambao Huwa wanapenda kukosoa ila sio kukosolewa .

Mange kawaambia ukweli very positive criticism.

Chadema ni wasaka fursa na sio watafuta mabadiliko wa kweli.
Hivi wewe unaona kazi wanayofanya Chadema kukutana na umma wa Watanganyika na kuwapa elimu ni ndogo?Anataka waandamane bila kuwaanda watu waandamane kwa sababu gani? Yeye Mange hana ujuzi wa siasa za upinzani kwenye majukwaa yeye anajua siasa za mitandaono ambapo siyo watu wengi wanazifuatilia. Wanaoandamani hiyo 7/7 wafanye hivyo ni haki yao, Chdema nao wana agenda zao kukutana na wananchi.
 
Huyo Mange bana, nimecheka anasema viongozi wa cdm ni waoga wanaogopa kuitwa polisi, ila yeye kakimbia nchi kabisa! Yaani anawajaza watu kama wajinga, ilitakiwa aje hapa aongoze maandamano, sio kuwajaza wengine akiwa mbali. Yaani viongozi wa cdm wakijazwa wakafuata asemacho bila kujongeza, itakula kwao.
Kweli kabisa, naona umelitambua hilo.
 
Back
Top Bottom