Mange Kimambi: Viongozi wa Chadema walio baki nje hawafikii hata nusu ya Lissu

Acha unafiki we mwanamke, Lissu hateseki anakula vizuri, analala pazuri wako wanaoteseka kule gerezani, pili Lissu amejitakia hawezi kuachwa kwamba anaogopwa? Yule mnyaturu ana siasa za hovyo, hawezi kuendesha siasa safi?
Siasa za ovyo ni zipi? Sijawahi kumsikia Lissu akimtishia mtu kumtia ndani, kumpoteza au kumchoma sindano ya sumu. Sijawahi kumsikia akimtukana mtu yeyote matusi ya nguoni. Wanaofanya hivyo wanajulikana na wengi wao hawagusiki.

Amandla...
 
Lissu ameiba nni mkuu
Tundu ni mtu wa maamuzi ya Kiimla, tumeona alichofanya ndani ya iezi 2 baada ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Hashauriki na ni dikteta sawa na Magufuli tu. Kuiba mali ya umma hajaiba lakini ungempa madaraka angeiba tu!
 
Mkuu umesema yote, kunywa mirinda nyeusi nitalipa
 
Acha unafiki we mwanamke, Lissu hateseki anakula vizuri, analala pazuri wako wanaoteseka kule gerezani, pili Lissu amejitakia hawezi kuachwa kwamba anaogopwa? Yule mnyaturu ana siasa za hovyo, hawezi kuendesha siasa safi?
Mimi ni Stuxnet siyo Halima Mdee, nimekopi tu makala yake kutoka mtandao wa X, zamani Twitter
 
Mwangosi wakati anakufa kuuliwa na police ulikua mdogo wakina Mgimwa
Issue ya Mwangosi, Ulimboka na Alphoce Mawazo ni rare and remote cases, huwezi kulinganisha na abductions na kilings alizoanzisha Magufuli
 
Ukweli upi?

Kumwabia Mange atumie akili, ndio ukweli.

Yeye ndio hataki ukweli.

Sasa hivi ana-block kila mtu huko Twitter
She is pro country not hizo siasa zenu za drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…