Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.

Meanwhile endeleeni kufa untill further notice.....
 
- Mange ameniongezea new followers 5,000 it means Extra Tsh. 200,000 to all my deals ya matangazo niliyonayo, mengine ni ya kawaida yatapita sisi ni kuvuta pesa U know inaitwa wajinga ndio waliwao hahaha!!

le Mutuz

Babu Hayo matangazo yanajumuisha na ya dr mwaka????
 
Vita ya panzi ............................................!
 
Le Mutus kapiga picha akiwa kwenye apartment akai-upload insta akidai ni yake! Jaribu kusoma ''kichambo'' alichoshushiwa na Mange ili uzidi kuunganisha vile vi-dots vyako:mangekimambi_ Eti apartment yake... Jiheshimu wewe!!!! Una hela ya kununua apartment downtown wewe??Apartment ya Juma Pinto. Juma anazo apartment mia Kidogo mjini hapo . Anazigawaga Kama karanga . Zingine ziko vacant hazina mtu. Nna rafiki yangu alitafutiwa moja na huyo huyo Juma. Mwingine namjua na yeye kapewa bure na Juma anakaaaa Ila siku Juma akiitaka apartment yake anaondoka. Ila Mwenzio ni mwanamke ...Najua nachokiongea wewe usidhani nabahatisha.

Eti apartment yako Embu rusha contract ya kununua. Wewe hizo apartment mtu akifatilia NHC anajua aliuziwa nani na anayo nani. Jiheshimu utaumbuka zaidi. Mali uliyonayo dunia hii ni nyumba ya kinyerezi ambayo umejenga na mkeo Kwa Hiyo wala sio yako peke yako ni yako na ex wako tena ina jina la Watoto Kwa Hiyo hata sio yako vile vile na ulivyo Le Mburulaz mmejenga nyumba kwenye kiwanja cha kupewa na wazazi wa mwanamke.

Yani nyumbani Kwao . Sasa mke mmeachana nyumba iko Kwao. Kazi ipo .....We jiteteeee mpaka uchoke Ila watu wa mjini kibaoooo wanajua apartment ni ya Juma Pinto. Nyoooo ulidhani Siri?? .... Sikuona haja ya kukuuumbua kustiriwa na mwanaume mwenzio sababu ni Maisha tu Ila ukaona unichokonoe mpaka nikusemeee mbovu ...

Haya jieleze hapa mbele ya kadamnasi kilichokupeleka South Africa ukapokelewa airport na Kinje Ngombale Mwiru na ukawa na Kinje 24 hrs huko SA ( bado sijapata confirmation Kama ulifikia Kwa Kinje Au Kama ulikaa hotelini) ulienda South Africa April 17 2016 na ukarudi Tanzania April 19 2016, uliingia Dar usiku so ukaenda home ukalala mchana wake ukawahi Msoga kwa Ridhwani na Mzigo. Mzigo gani?? Mi sijui.

Mnajua wenyewe.Na Ueleze mbele ya kadamnasi kilichokufanya usirushe mipicha Picha ya safari Au ukiwa South Africa?? Kwa nini ulifanya Siri Safari ya South Africa na wakati wewe ni mtu wa show off??? Why kimya kimya ????? Wakati wewe ni mtu wa kujijaza insta utasema demu??

Usidhani kwa vile sikutumbuagi labda sijui issue zako ndo unaanza kunizoea mpaka matakoni. Nilikuwa nakustahi kindugu ndugu Ila wewe hutaki tuheshimiane...
 
Le mtindizzzzzzzzzzzzzzzzzz la watotozzzzzzzzzzzzz wakarezzzzzzzzzzzzzzzzzz
Le akili kubwazzzzzzzzzzzz, le kuvaazzzzz mashatizzzzzzzzzzzzzzz makubwazzzz ka shukazzzzzzzzzzz

NAFWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
Hahahaaaa sasa zaidi ya maneno tu kuwa hiyo apartment ni ya Juma Pinto na si Le Mutuz, ushahidi uko wapi unaoonyesha hiyo apartment ni ya Pinto na si Le Mutuz?

Hatari kweli kweli!
Umesahau maisha ya uswazi nini?
 
duuuh alipokelewa na kinje then aliporudi akazama fasta kwa ridhiwan ku handover mzigo, mzigo gan tena jaman au ndo malipo ya sembe!!?
 
Nahukuru leo Le Kubwa Jingazzzz limepata size yake!!!! Le Pumbuvuzz.......!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Baba anatumwa na watoto wake, kweli akili ndogo ni shida
 
Riz1,David Mosha,Kinje nawaachia wana JF mmeseme,mutuz ni punda tuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…