Mange Kimambi vs Le Mutuz katika Beef Zito kisa Dr. Mwaka

Status
Not open for further replies.
vipi kuhusu na apartment kumbe ni ya juma pinto, hujajibu hilo mkuu na nyumba ya kinyerezi kumbe sio yako ni ya mkeo
 
I know it full well.

Umbea hauhitaji ithibati.

Ye mwenyewe washamzushia eti kaachika lakini hatukuonyeshwa hata nakala ya divorce decree.....

Ni mambo ya kufurahisha magenge ya Instagram na kwingineko kama huku.
Una kiswahili kitamu wewe, "ithibati" utafikiri mtu Wa pwani
 
vipi kuhusu na apartment kumbe ni ya juma pinto, hujajibu hilo mkuu na nyumba ya kinyerezi kumbe sio yako ni ya mkeo

- hahahahaha yale yale haya maswali ya nyumba nilishaulizwa kwenye Interview na Mboni Masimba, ninazo Apartment 2 moja ninayoishi na nyingine Changombe, nyumba yangu Kinyerezi hahahahahahahaa poleni sana

le Mutuz Nation
 
Hakika jamaa ni bonge la celebrity.

Hahahaaa......sitashangaa kabisa kama kuna watu ambao humwota usiku wakiwa wamelala.
Kusema kweli Mimi huwa saa nyingine najikuta nacheka nikikumbuka vituko vyake!

Akija hapa lazima mmalize kabisa Mange....
 
We baba unajiaibishaaaaaa Sasa hii ni degree???? ...nimechekaaaaaa Huyu Kweli Le mburulaz .. Tuseme cheti ni cha Kweli sio feki hii ni degree Sasa??? Kwa Marekani hii inaitwa associate degree Tena ya community college wala sio ya chuo kikuuuuu... Kwa bongo ni Sawa na advanced diploma. Sasa Ndo hi unawaambiaga watu una degree sijui ya criminology?? Degree ya Marekani unaichezea wewe?? degree ya Marekani unayo Unadhani ungekuwa unaendesha magari ya kunyonya mavi Marekani na ulivyopandishwa daraja ukaanza kuendesha magari ya Taka? Mtu mwenye degree ya mmarekani anaendesha gari za kuzoa Taka?? Jiheshimu we mzeeeeeee. Kwendraaaaaaa.. By the way vyeti is nothing watu wana vyeti vya Harvard na hawajui hata Harvard iko state gani? . Umeombwa graduation photos, Au Utuambie ndugu na marafiki waliokujaga kwenye graduation zako... au wewe mwenzetu vyeti ulipokeaga Posta???
 
Hahahaha mkuu mbona umekuja mapema kabla ya page kumi? Halafu swala la apartment haujalitolea ufafanuzi!

Hivi wewe na Mange mlikoseana nini?
 
- hahahahaha yale yale haya maswali ya nyumba nilishaulizwa kwenye Interview na Mboni Masimba, ninazo Apartment 2 moja ninayoishi na nyingine Changombe, nyumba yangu Kinyerezi hahahahahahahaa poleni sana

le Mutuz Nation
Sasa kwanini usimshitaki Mange kwakukuchafua?
 
Teh Teh...
 
zee vipi bio yako inasema unayo degree BS Marine engineering we baba una mchezo wewe engineering unaijua wewe? Unadhani ni rahisi Kama mabebez Ziko wapi hizo degree?? na Hiyo degree ya criminology iko wapi?? Au Ndo ile diploma ya police academy sijui ushuzi gani ndo Hiyo ulimaanisha bachelor of criminology
 
e mburulaz amekutwa Posta anatoa copy vyeti Sasa sijaelewa nahisi alikuwa ana tengeneza sio anatoa copy maana copy ya nini ???
 
Mambo ya Apartment tuache hii ya Kinje na Riz ndio mada kuuu.
 
..endelea uzuri mnajuana!
namjua le mutuz ni mtu super sana kweli sijapendezwa na udhalilishaji aliofanyiwa na huyu mke wa mzungu...
le mutuz ni mtu wetu sana wadada wakareee tunamjua...yaani hyu mange ipo siku tu simpendi hata kidogo yaani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…