- hahahahahahahah Instagram ina safari yangu nzima ya South Africa hakuna kilichofichwa hata kimoja, nilienda mwenyewe Johannesburg na nikafikia Maslow Hotel, siku nilipofika Kinje alinialika nyumbani kwake jioni tukachoma nyama nilirudi Hotelini kwangu nikaungana na Mshikaji wangu Mo na kina Petitman,
- Sikumuona tena Kinje mpaka naondoka kesho yake nikakutana na Kampuni ya Glenfiddich Whiskey kama nilivyopanga nao Tarehe 19 nikarudi, hizi habari ni za Isntagaram sasa naona yeye kazifanya kama vile yeye ni Spy zilikuwa siri please hahahahahaha poleni sana mnaomsikiliza this is a big joke
le Mutuz