Degree tatu yupo bize kazini😄😄😄
Yaani degree tatu na kukaa kote "mamtoni" hii ndio kazi yakufanya kweli kupigizana kelele na matusi na vitoto insta na mitandao mingine ya kijamii?
Hahahahaha
Le big show
Babu yake kimnana
Amesarenda na kufuta posti yake aliyodai inasambazwa...
Hahahaha
Ruttashobolwa uneona mambo ya jirani yako?
akiwa na age mates wake ndani ya xxl after xul bash
Sioni na sielewi kabisa kwanini Dr. Mwaka anaandamwa namna hii.
Nenda kwenye Account ya mange insta Kaweka Video nayo usipo Amini duuu!
akiwa na age mates wake ndani ya xxl after xul bash
A concert meant for highschool students
Huyu jamaa bado watoto show tu, zote yeye anaenda. Hapo atakwambia " le mualikoz"
Mbona lemutuz hasndikagi hivyo .hayo MANENO sio choice ya lemutuz.i don't think ni yeyeHaya sasa kumekucha instagram......Mzee wa degree 3 yupo katika mpambano wa hatari na Mkimama Mange Kimambi huko instagram kuhusu swala la Dr.mwaka
Naona mzee wa degree 3 anamtetea sana Dr.mwaka kwa hali na mali huku Mkimama wetu Mange kimambi Akimkosoa vibaya sana Dr Mwaka akidai elimu ake kapata Google!
Mzee wa degree 3 anaonekana sana kumtetea Dr.Mwaka hadi akaamua kumpigia simu Mange ili aache kile anacho kifanya kwani ana Contract inabido asign kwa Dr.Mwaka
Mange hajakausha kaamua Kumumbua Le Mutuzi kwa Kupost text zote alizotumiwa na kujibu
Baadae kidogo baba la baba Mtu munene Akajibu kuwa hizo ni text za kutengenezwa na akidai Mange kazitengeneza yeye hajawahi kumpigia simu Mange wala kuchat Nae ila anakiru kuwa Namba ni yake
Kabla hilo halijakaa sawa Mama la Mama Mange kimambi Akarudisha mapigo kwa kupost Video ikionesha kupitia Iphone ake anafungua app ya whatsapp then anaenda kwenye conversations anatafuta namba ya Le mutuzi Mara vuuu Aniona hii hapa Anaifungua na kuonesha kuwa kile alicho screenshot ni cha kweli pale hata mimi Naamini ile Conversation siyo ya kutengenezwa ni ya kweli
Baba la baba baad ya kuona hilo akajibu tena kwa majigambo
Najaribu kusoma Comment za watu insta kwa page ya Le mutuzi naona watu wamevurugwa wapo teari kama niblock wapigwe tuuu Ila wanadai Le mutuzi na Dr mwaka Nijibu na Mange analitumbua
Jamani siwezi kuelezea yote ila Kifupi ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu Le mutuz Kashikwa vibaya sana huko ingekuwa vita Angekuwa kashindwa
Mange pamoja kupelekewa dau la pesa lakini Kagoma kufuta post anasema anataka kuwatetea akina mama wote
Katishiwa uchawi lakini bado hebu nendeni huko insta mkaone
Mange Kaweka pia link inayo onesha elimu ya Dr Mwaka
Home
Mbona lemutuz hasndikagi hivyo .hayo MANENO sio choice ya lemutuz.i don't think ni yeye
Sio biashara ya utumbo tena?- HAHAHAHAHA salute man, sijawahi in my life kujihusisha na Mange nilisema siku nyingi na ninarudia kwamba kwa sababu ana mahusiano ya karibu sana na my sister sitamgusa wala kumjibu na sijawahi, kumtafuta siwezi cause simjui na wala sijui yupo wapi au namba yake sina na wala sijawahi kumpigia in my life. Kama kuna anayemjua hapa amuulize kama in my life nimewahi hata kuzungumza naye sasa iweje nianze juzi?
- Dr. Mwaka ni my Client wa muda mrefu sana, siamini kwamba anatuhumiwa kwa tuhuma za ukweli siamini kwamba aliruhusiwa kuwa mpaka na kiwanda cha dawa huku hana sifa zinazotakiwa ndio maana ninamtete na hata leo nimemuuliza amenionyesha all needed documents za kazi zake, nimeishi sana USA ambako nilifundishwa "INNOCENT UNTIL PROVEN BEYOND REASONABLE DOUBT OF GUILTY"
- Mengine ni ukifanya biashara ya Samaki lazima utanukia harufu ya Samaki, Social Media ina FAIDA na HASARA zake ila kwangU FAIDA ni kubwa kuliko hasara na leo ndio kwanza ninaingia mikataba miwili mipya na TANAPA pamoja na DAWASCO, so nipo sawa sana U know!!
- IF ANYTHING NINAMSHUKURU KWA KUNIONGEZEA UMAARUFU
le Mutuz
Sio biashara ya utumbo tena?
- Ina maana na wewe ni mpumbavu maana haiwezekani ukatoa mishipa na mapovu na wewe sio mpumbavu hahahaha
le Mutuz