Mange Kimambi yumo humu JF....

Hhahahaa akikuskia atakuchamba wik nzima ...na id yako ataipata na picha yakijjn kwenu atakua nayo....simpendi jmn yule mdd mbeeeea km nn cjui
Mnamwona mungu mtuu
 
Leo hii ukiwa mtu wa matusi matusi unaogopwa sana hata na wababa watakuogopa tu ilihali we…mwanamke
 
Hahahaha, Labda shahada ya umbeya
 
yule dada analaana kuna kipindi alikuwa anasapport ushoga uje tz nikaandika comments kumbe aliisoma bhna kilichofata mamamamamam ctaki kumbuka ila cha kwanza alinipiga bonge la komeo mpk leo sina hamu nae
 
Masters hata polytenic college manzese unaipata...

Narudia.. Mange hana kichwa cha kuingia udsm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshaambiwa ikikuuma sana una meza wembe alafu maisha yanasongaaaaa msonyooooooo
 
acheni masihara jamani mnasema mange kasoma Makerere University?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…