Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Mnamwona mungu mtuuHhahahaa akikuskia atakuchamba wik nzima ...na id yako ataipata na picha yakijjn kwenu atakua nayo....simpendi jmn yule mdd mbeeeea km nn cjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnamwona mungu mtuuHhahahaa akikuskia atakuchamba wik nzima ...na id yako ataipata na picha yakijjn kwenu atakua nayo....simpendi jmn yule mdd mbeeeea km nn cjui
Astaghafiru Lahi Mwenyezi Mungu hawez kufananishwa na viumbe,mtake Mungu radhi ata ivo mm sipatani na mbea so i dnt like herMnamwona mungu mtuu
Hahahaha, Labda shahada ya umbeyaNina mashaka na chanzo chako cha taarifa. Mange Kimambi amesoma UDSM kiwango cha shahada ya kwanza(Bachelor degree) miaka 2002 hadi 2006 hapo katikati. Kuna watu wamesoma nae humu watakuja kutuambia exactly alisoma lini na kozi gani kwa miaka mingapi.
wewe ni mwanaume?Hhahahaa akikuskia atakuchamba wik nzima ...na id yako ataipata na picha yakijjn kwenu atakua nayo....simpendi jmn yule mdd mbeeeea km nn cjui
amesoma na yuko vizuri umejibu kinaa utakuwa ccm weweHahahaha, Labda shahada ya umbeya
Duh!!!unawivu sana wewe mwenzako anakula kula kuku USA wewe unakula vumbi singinda huwezi hona big gap between.
swissme
Ohoooo!!!Ww ndiyo mwenye ukimwi au
Mange hana kichwa cha kuingia UDSMamesoma na yuko vizuri umejibu kinaa utakuwa ccm wewe
chuki binafsi kasoma huo ndo ukweli wenyewe kama hutaki sikulazimishiMange hana kichwa cha kuingia UDSM
Tena kwa taarifa yako ana mastersMange hana kichwa cha kuingia UDSM
Masters hata polytenic college manzese unaipata...Tena kwa taarifa yako ana masters
![]()
Madongo yake yote hua anayapata....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshaambiwa ikikuuma sana una meza wembe alafu maisha yanasongaaaaa msonyoooooooMasters hata polytenic college manzese unaipata...
Narudia.. Mange hana kichwa cha kuingia udsm
Akikujibu hii naomba unishtueKumbe unajuwa sasa kwanini uliuliza kama vile humjuwi, au umesahau posts chachee tu juu hapo? Arosto nini?
Mzungu kwanini kaku shit?
Nani tena[emoji15] [emoji15]Ban kala mmoja huyo bibi mbona kaachwa?