Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Irrelevant kwa nani?Kwa hiyo point yako ni irrelevant
Kwa character yake , angekuwa na degree number ingesomekaU are correct...hao uliowataja akina irene waliendelea hadi Masters pale pale....
Sipati picha angekua na degree yoyote UDSM iliyosimama wima whether ni LLB au yoyote huko Insta pangewaka moto aisee
Ila hakuna ndio maana mostly anazungumzia hizo degree fix za Dubai...na hii anaongelea "kila siku" na sidhani kama ataacha anytime soon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ana lolote ...hatuwezimmoja wetu awe kule insta atuletee majibu atayotoa Mage maana hawez kujibu hapa na nyie mnaomnanga mjiandae kisailojia
Kwa great thinkersIrrelevant kwa nani?
Wewe ndo msemaji wao?Kwa great thinkers
bu..bu ..but aren't we all trying making end meet?.Mbona kuna watu wanamuona Le mutuz ana akili? kumbe ni just another failure who is trying to make ends meet
Duh hatar sana lakini salamaHalafu bora matusi basi huwa anakwenda mbali zaidi ya hapo ,anatafuta details zako zote unashangaa anaweka picha ya marehemu dada ya mwaka 90
Mkuu you had wrong info. Mimi nina rafiki zangu wako vizuri sana na o-level walipiga Div I , walipomaliza Six waka opt kusoma AVU now CVL kwa kigezo cha Course content bora ya BSc Comp. Jamaa wako vizuri sana kupiga Code mambo ya programming na academically wapo vizuri wengine wameajiriwa pale UDSM kitengo muhimu sana, naomba nisizidi kuongea mengi ambayo wenyewe wasingependa tuongee hapa.Unaweza ukawa sahihi mkuu...ila kiukweli hao wa Diploma na Certificate nadhani walikua ndio 95% yao..
Hao wa degree walikua wachache sana
Kwa UDSM aisee AVU ilikua hoi bin majanga,waliokua wanasoma humo ni Form Four leavers mkuu,na walikua wachovu mpaka wanatia huruma
unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchibaba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
Kama haogopi chochote kwa nini huwa anatukana mtandaoni?All in all namsifu Mange , she has that character ambayo wengi hatuna , she has guts , haogopi chochote , kwa hilo nasema chapeau to her.
Thats where you is reading me wrong.I am trying and at ease-not forcing -eg pretend me is still young,kissing arses to survive-next tutasikia gastric bypass ili kuwa slimbu..bu ..but aren't we all trying making end meet?.
How successfull are you madame?
ana id kama 50 hivi kwani hujui wakati mwingine anajianzaishia uzi na kujijibu mwenyewe hahaha
Madongo yake yote hua anayapata....
Yeah, But sometimes it's too much.All in all namsifu Mange , she has that character ambayo wengi hatuna , she has guts , haogopi chochote , kwa hilo nasema chapeau to her.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]ana id kama 50 hivi kwani hujui wakati mwingine anajianzaishia uzi na kujijibu mwenyewe hahaha
Hiki ni kimachame cha kule ndani kabisa.Thats where you is reading me wrong.I am trying and at ease-not forcing -eg pretend me is still young,kissing arses to survive-next tutasikia gastric bypass ili kuwa slim
Mkuu kama unge andika kwa lugha ya kiswahili nahisi kinge nyooka. Hiki kimalikia Elizabeth hakija nyooka hapa.Thats where you is reading me wrong.I am trying and at ease-not forcing -eg pretend me is still young,kissing arses to survive-next tutasikia gastric bypass ili kuwa slim
Duh!ana id kama 50 hivi kwani hujui wakati mwingine anajianzaishia uzi na kujijibu mwenyewe hahaha