Mange Kimambi yumo humu JF....

Mange Kimambi yumo humu JF....

U are correct...hao uliowataja akina irene waliendelea hadi Masters pale pale....

Sipati picha angekua na degree yoyote UDSM iliyosimama wima whether ni LLB au yoyote huko Insta pangewaka moto aisee


Ila hakuna ndio maana mostly anazungumzia hizo degree fix za Dubai...na hii anaongelea "kila siku" na sidhani kama ataacha anytime soon[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa character yake , angekuwa na degree number ingesomeka
 
Rashidi Chilumba alipost hiii kitu, mange alimshukia Chilumba akafunga akaunti ya Facebook


uploadfromtaptalk1479299081924.jpg




Mange ni level zingine
 
Mbona kuna watu wanamuona Le mutuz ana akili? kumbe ni just another failure who is trying to make ends meet
bu..bu ..but aren't we all trying making end meet?.
How successfull are you madame?
 
Unaweza ukawa sahihi mkuu...ila kiukweli hao wa Diploma na Certificate nadhani walikua ndio 95% yao..

Hao wa degree walikua wachache sana

Kwa UDSM aisee AVU ilikua hoi bin majanga,waliokua wanasoma humo ni Form Four leavers mkuu,na walikua wachovu mpaka wanatia huruma
Mkuu you had wrong info. Mimi nina rafiki zangu wako vizuri sana na o-level walipiga Div I , walipomaliza Six waka opt kusoma AVU now CVL kwa kigezo cha Course content bora ya BSc Comp. Jamaa wako vizuri sana kupiga Code mambo ya programming na academically wapo vizuri wengine wameajiriwa pale UDSM kitengo muhimu sana, naomba nisizidi kuongea mengi ambayo wenyewe wasingependa tuongee hapa.
 
baba yao aliwapeleka watoto wake shule nzuri miaka hiyo ila hakuna walichokipata bora sisi tuliosoma st kayumba mafanikio tumeyaona ila mange kuhusu shule anyamaze tu ndo laana inamsumbua kuchezea nafasi ya elimu bora
unafurahia uzembe wa baba ako kukupeleka st.kayumba?...baba ake mange alisimamia nafasi yake kama baba kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri na wanatambua mambo yanavyoenda...we una kazi yakuponda tu...ndo mana st.kayumba zako zimekufanya uwe mjinga usijue mambo ya nchi yako yanavyoenda....bora huyo mange anaeongeaga point kuiokoa nchi
 
bu..bu ..but aren't we all trying making end meet?.
How successfull are you madame?
Thats where you is reading me wrong.I am trying and at ease-not forcing -eg pretend me is still young,kissing arses to survive-next tutasikia gastric bypass ili kuwa slim
 
Hahahaaa fun enough mnamsubiria ajibu wakati mpo nae humu ktk mjadala [emoji36][emoji36]
 
Thats where you is reading me wrong.I am trying and at ease-not forcing -eg pretend me is still young,kissing arses to survive-next tutasikia gastric bypass ili kuwa slim
Mkuu kama unge andika kwa lugha ya kiswahili nahisi kinge nyooka. Hiki kimalikia Elizabeth hakija nyooka hapa.
 
Back
Top Bottom