Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?


Umeona ujumbe wako u turn??? Lol
 

Anasema mbuta ana kichaa but in the meanwhile anafail kuona na kukubali kuwa ana depression na inaweza ikampelekea kuwa kichaa.
I think she is now getting too much attention than she real deserves.
Watu wanasema wanataka wamwandalie trophy.
Miafrika bwana....sijui tumerogwa na nani.
Aliposema kingunge yampasa asubiri akajifie nilisikitika sana.
 
kuna watu natamani kuwataja waliokua wanauzwa na fiderine iranga hapa ila daah hapana mana enzi hizo nibahatika kutembelea ushuani kwa besti zangu pale jirani ndo kwa fide
sema sasa hv wanajifanya wana mastatus yao nawacheka sana

Ebu waweke apa nikusaidie kuwataja binamu
 
Ndio hii binamu.
Mimi Mange simchukii wala kidogo, nachukia mambo yake.
Tukija kwenye fashion aah....namwona ananoga vizurii a mambo mengine akaah.

Haaaa Nikajichekea tu

Amesema she is not perfect hawezi kumridhisha kila MTU.. Ana mazuri na mabaya yake
 
Ebu waweke apa nikusaidie kuwataja binamu

weee...!!!binamu wadada wa mjini wa enzi hizo wengi geto lilikua kwa kine fide pale wanajijua kwa majina
wengine ssa hv wake za waheshimiwa sana,mara wameolewa na wazungu,wengine wana NGO'S then pretend that education is sexy while the power of their pussy put them where they ar now...
hapa mjini hasa dar wadada wengi wengi tena walikua wauzaji wakubwa tu wa nyapu...
 

Sio wanaume wote wana tabia hyo, kuna baadhi wanajiheshimu tu na hawaendekez majungu, japokuwa asilimia nyingi kwel wapo wenye tabia izo, yote tisa, kumi omba mungu usikutane na mtu anaitwa warumi, utajuta kuzaliwa hakyamungu
 
Binamu hiyo assignment wambea wenzako tunakupa..

And TATIANA love I missed you

Mie tena, nshamaliza assignment, kumbe aligombana na esha buheti, mdada mmoja ivi wa bongo movie,alikuwa anamrusha roho naona walikuwa wanachat na ndikumana nimeona chat zao, nyie ndikumana mswahili yule jaman, uwoya ana haki ya kuchepuka, yani ana maneno warumi anasubir khaa, ndio ivo bibie uwoja jana kapanick, akawa anampa madongo esha kuwa anajipendekeza kwa mumewe
 
Last edited by a moderator:

Hahaha hahahaha.. Makubwa aisee nifanye mpango nirudi mjini mie... warumi nakupigia salute Mia nane
 
Last edited by a moderator:

NItashangaa kama biashara yote ile aliyokua akifanya bado anaishi maisha magumu, maana alikuwa ana deal na waheshimiwa na wazungu matajir, yani wengi sana kawaoa madil ya kwenda south, na ulaya
 
Sio wanaume wote wana tabia hyo, kuna baadhi wanajiheshimu tu na hawaendekez majungu, japokuwa asilimia nyingi kwel wapo wenye tabia izo, yote tisa, kumi omba mungu usikutane na mtu anaitwa warumi, utajuta kuzaliwa hakyamungu

Binamu umenichekeshaaa!
Mbona wewe hujawahi kusema kama wewe na kale kakikundi kako kule kitaa kama mliwahi kusutana?
Binamu ina maana unamfanyia umbeya hadi gerofrendi wako?
Binam wanaume nao hawajambo kwa kusengenya ila hawasutani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…