Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?


Na watakoma kweli kuna watu wapenda ubuyu ila hawataki kuonekana. Asilimia kubwa ya wabongo wanapenda umbea sana tu.
 
Ndio hao hao umewapa lao haswaaaa wanasoma udaku wakimaliza kwa kunogewa wanafika mwishoni wanatamani zaidi, wanaona ngoja warushe kikomenti eti wengine wanapenda udaku...uwa nachekaga maana hawawezi sema kama hawakusoma...lol

Mi nawashauri waje tu, unajua watu wanajishtukia kuja ku comment, unakuta sijui ana baby wake humu so akimuona anapiga umbea atamshusha so wanaona soo wakati umbea wanaupenda sana, wajiachie tu siku izi kila mtu anapiga umbea, kwanza unaleta afya na kukupunguzia maumivu na stres, hadi watu wazima wanapenda umbea, watakufa bure uko

Uwa siku nikikosa kazi kule insta uwa napekua account za mastaa wale wenye hadhi zao yani wanaheshimika, naangalia watu walio wafollow, jamani binamu mpaka unashangaa, unakuta mtu anaheshimika anawa follow watu wanaotukana matusi mazito, unakuta account imeandikwa flan kumam*yo mtu ana follow, yani nachekaga kweli, halafu sio mtu mmoja aliye mfollow, watu kibao anawafolow wenye matusi, nachekaga jaman uwiii warumi mie mbeya aisehh, basi uwa nawaonea huruma kweli yani khaa
 
Binamu ndo nini kuniacha kwenye mataa ya karume siyo vizuri
 

mxiuiiuuuuuuuuuuiuuuu.....!!!!
 
Watu hawajui tu. Hivi hujiulizi ni kwanini Dogie masta kila akifungiwa account akifungua followers wengi wana mfata ni umbea. Tena wengine waheshimiwa wana account fake za kufata account za ajabu.

hhaaahhhhhaaaaa
hhhhhaaahhhhaaass
 
hhaaahhhhhaaaaa
hhhhhaaahhhhaaass

Kuna waheshimiwa flan iv na mastaa wenye heshima nilienda kupekua kwenye watu wanao wa follow (following ) khaa nikachoka, yani wana follow account za ajabu mpaka unashangaa, sasa unajiuliza huyu nae yamesibu yapi jaman? Account kabisa imeandikwa flan kumam*yo halafu mtu ana folllow, mbaya zaidi mtu huyo anayetukanwa ni rafik wa huyo staa ila mtu ana follow, umbea ni janga kama ukimwi tu, hauchagui mtu
 
Binamu binamu umbea mtamu asikwambie mtu
 
Binamu binamu umbea mtamu asikwambie mtu

Kuna zile breaking news ukizipata mtu unachanganyikiwa, unataman uwe wa kwanza kutoa taarifa yani, roho inapaa nakwambia khaa mbili haikai wala tatu yani balaa tupu

Breaking news iliyovunja rekodi kwangu ni pale lulu alipofunga account yale, halafu watu wanampa pole, jaman nilichanganyikiwa warumi mie, nahangaika uku na kule kutaka kujua kunani, watu walinipigia simu siku hiyo sijawahi kuona, kila mtu ananitegemea mimi nitakuwa najua habar, basi najitutumua kutafuta umbea mpaka basi, nikipata roho kwatu.
 
Mdomo koma mdomo utaniponza ujue? Mimi mwenyewe sijisikii vzur kwa kweli kuna kitu kimenikaba kooni, mwenzangu ni k -lyn binamu, eh ntakufa buree ,kutunza siri siwezi mie
hahahhah uwiii binamu shauri yako.
 
Binamu binamu umbea mtamu asikwambie mtu

Wema mwenyewe alisemaga uwa wanapigiana simu na ommy dimpozi mpaka saa nzima wanapiga umbea, yani umbea raha, haswa upate wambea wenzio yani ni hatar, acha kabisa wewe
 
Hahahahahahahahaha na ukiukosa unasononeka kama umepoteza Tanzanite vile
 

Hahahahahahaaa ni hivi basi tu lakini I wish ungekua hata rafiki yangu nje ya JF ila binamu wewe mbea sana!
Hata hivyo 1 day nitakuona tu Inshaallah...
 
Binamu binamu umbea mtamu asikwambie mtu

Kuna rafiki yangu mmoja ivi hanaga tabia za umbea, anajifanyaga gentleman,nikisimulia habar za watu ananiumbua niache umbea ye hatak kusikia habar za watu, yani uwa tunapatana sana ila kwenye umbea ndo tunagombanaga sana, uliza sasa ivi alivyo mbea warumi nasubir, yani kawa mbea huyo mpaka namshangaa ahahah hahah chezeya warumi weyee
 

Binamu tuanzishe hilo group bwana tuwe tunajadili mambo nyeti bila wasiwasi wal kufichaficha kama sasa.
Si unajua na ile sheria tena? Huko tutakua huru zaidi.Ila hakuna ruksa kwa asiye mbea.
 
Hahahahahahaaa ni hivi basi tu lakini I wish ungekua hata rafiki yangu nje ya JF ila binamu wewe mbea sana!
Hata hivyo 1 day nitakuona tu Inshaallah...

Hahahahahahahha umeona yaani binamu yetu ni mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…