Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Weraaaaa!! ,tutawakomesha sana wale wanaojifanya hawapendi umbea, ila thread unakuta ina viewers 3k au 9k ,sasa najiuliza hawa watu wote wametokea wapi wakati wapigaji umbea ni wale wale na tunao.coment humu wote wanajulikana, nikaja kujua kumbe umbea ni ugonjwa wa taifa binamu, yani tutawakomesha manina mpaka wakome
Na watakoma kweli kuna watu wapenda ubuyu ila hawataki kuonekana. Asilimia kubwa ya wabongo wanapenda umbea sana tu.