Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Ndio basi tena, wale waanzisha id's mpya kila siku imekula kwao.
Tunataka wambea tu, hatutaki mamluki.

Na hao new I'd kumbe wenyeji ndo waharibifu sasa. Nadhani group la waliozeleka litakua more better.
 
Haya niambie ulichotaka kusema kwanza.

Ahahah wewe binamu una vituko ujue? Utanifanya nikuote kwa kweli, khaaa, sikupatii picha kwanza ilo pozi ulilomuwekea, ebu atueleze anataka nn kwanza
 
Ahahah wewe binamu una vituko ujue? Utanifanya nikuote kwa kweli, khaaa, sikupatii picha kwanza ilo pozi ulilomuwekea, ebu atueleze anataka nn kwanza

Hivi na mimi nimesahaulika kwenye hilo group Au?
 
Last edited by a moderator:

Haaaaaa haaaa haaaaa nifah katika ubora wake..mbavu zangu mie!
 
Last edited by a moderator:
Mume yupi unayeongelea? Mange hana mume ndio maana kichaaa kinazidi kupanda, yaani sasahivi ndio wakati ambao anawahitaji sana marafiki zake but ndio keshanyea kambi.Stress kibaooooo huoni mzungu alivyofuga midevuuuuu

Namzungumzia Devota Diva
 
Hahahahahaaa warumi kwakweli itabidi urafiki wetu uishie huku JF tu.
Maana usijenivunjia ndoa yangu bure, nimekuogopa!

Kuna nyumba nilipangaga, kuna dada mmoja nae alikuwa mbea jaman, ilitokea akanipenda, basi wapangaji wenzetu wakawa wanatuchukia kweli mpaka tukapewa notsi ya kuhama nakwambia,yani ilikuwa shidaaa watu hawana amani na ndoa zao, sema uzuri tulikuwa wakweli, tukimkuta mtu njian na mchepuko atakavyochanganyikiwa maana anajua habar ishafika kwa mumewe,yan ni shidaaa
 
Last edited by a moderator:
Sina gazeti wala ukurasa yakhe, wala mm cyo spy ni mkulima tuuu wa nyanya huku kijijin ila napenda kusoma hbr za mjini jaman

Usipate tabu post unazochangia zitatueleza zaidi. Usiende edit tutaona tarehe
 
Hahahahahahahahahahaha Warumi
 
Hahahahahaaa warumi kwakweli itabidi urafiki wetu uishie huku JF tu.
Maana usijenivunjia ndoa yangu bure, nimekuogopa!

Halafu mtu mbea ata umpe laki moja akufichie siri yako hawezi, mwisho wa siku lazima aseme tu, haha ahaha
 
Last edited by a moderator:
Mume yupi unayeongelea? Mange hana mume ndio maana kichaaa kinazidi kupanda, yaani sasahivi ndio wakati ambao anawahitaji sana marafiki zake but ndio keshanyea kambi.Stress kibaooooo huoni mzungu alivyofuga midevuuuuu

Sasa ukitaka kujua ataanza kuokota makopo soon angalia kaisha anza kufunguka juu ya babake nam quote "2months before my dad killed himself" siku zote anakataa babake hakujiua leo kasema sasa next atasema babake alivyoliwa kiboga! Kawa chizi usicheze na kutukana watu wengi kiasi kile kuna watu hawachezewi hovyo hovyo
 
Awaombe radhi wote aliowadhalilisha mana wengi wamemunenea maneno mabaya na huumba. Ataishia vibaya kuna wengine watu ni wabaya hawachezewi.
 
Awaombe radhi wote aliowadhalilisha mana wengi wamemunenea maneno mabaya na huumba. Ataishia vibaya kuna wengine watu ni wabaya hawachezewi.

Hawezi anajiona mbabe wakati hana loloote eti Lowassa anaugonjwa kama wa Mohamed Ali hajui Mohamed Ali kawa hivyo sababu alikuwa anaruhusu kupigwa ngumi za uso mtu anaejua boxing atakwambia yeye anawadanganya hao misukule wake eti ni ugonjwa sawa na wa Mohamed Ali! Na bado kuna watu wanamuona ana akili timamu kabisa.
 
Hahahaaa noma sana!
 
Sometimes nashindwa
Nabaki kusoma tu mtandao shida si wajua vijijini ...
 
Hilo kundi halitadumu
 
Pls pls usituletee watu tusiowajua.Naomba member wote wanaotaka kujiunga wawekwe hadharani watu tuseme kama tunamjua au lah.
Tunataka uhuru hatutaki unafiki wa huku.

Unakuta nyaningabu naye anajoin, hakyanani nitapinga mpaka mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…