Hilo nalo neno aiseh, aliyekwambia wambea siku izi wanawake peke yao nani?, mie warumi nawakilisha wanaume wote wambea, mie ndo balozi wao, so please jina hlo wabadilishe kwa kweli, heshima muhimu, chinekeeeee
Muache uchoyo... Wengine tukikosa umbea tunaugua parkison's disease hivooo Diva Beyonce nifah
Achana nae bwana binamu.Ndio maana tunataka tuanzishe group letu la umbea kwa ajili ya wanafiki kama hawa.
Sasa hivi watakua wanatuona online tu ila hawajui tunafanya nini.
Watakomaje? Naona watawaomba mods wafute hilo group kwakweli!
Awaombe radhi wote aliowadhalilisha mana wengi wamemunenea maneno mabaya na huumba. Ataishia vibaya kuna wengine watu ni wabaya hawachezewi.
Karibuni katika group la "Ladies wa Social Media" lililofunguliwa dakika chache zilizopita nimewasoma nikaamua kulifungua, je umepata invitation? Nimewatumia chekini
KAMA HAUJAPATA MWALIKO ANDIKA HAPA
NATANGULIZA SHUKURANI NYINGI NI WAZO ZURI ALIYELETA MADA YA HILI.
Mwenyewe sijaitwa, sijui sina vigezo binamu....
itakua vizurii ILA Hilo group hatutaingiliwaaa yarabiii,jamani tufunguenii tunaojijua Tu wambea wa humu basi I'd mpya sio team umbea hakunaaaa,mambo tutamaliza Kule kuleee
Wewe nakuonaga lakini.....inabidi tujiridhishe kwanza kama na wewe ni mbea au lah.
Kwakweli itabidi niingie kazini kama detective nichunguze wambea wote wanaotaka kujiunga, nikijiridhisha basi ruksa kujiunga.
Note:Hatutaki watu wa kusoma umbea tu, tunataka watu wa kushirikiana nao katika umbea.
Kuna wengine wametoka koo za kichief
Pls pls usituletee watu tusiowajua.Naomba member wote wanaotaka kujiunga wawekwe hadharani watu tuseme kama tunamjua au lah.
Tunataka uhuru hatutaki unafiki wa huku.[/QUOTE nifah dear na mimi mwenzenu nielekezeni hiyo app umbea utanikosa jamaniiiiii
Pls pls usituletee watu tusiowajua.Naomba member wote wanaotaka kujiunga wawekwe hadharani watu tuseme kama tunamjua au lah.
Tunataka uhuru hatutaki unafiki wa huku.[/QUOTE nifah dear na mimi mwenzenu nielekezeni hiyo app umbea utanikosa jamaniiiiii
Habarini za kazi dada zangu vipenzi, naushauri kidogo naombeni mniazime masikioni yenu kidogo.
Nadhani mtakuwa rika tofuati tofauti kuna wengine mabinti mie na deal na mabinti wakongwe niwaache.
Hivi mnafanya kazi kweli na mnapika majumbani kwenu au kufanya shughuli za nyumbani maana 24/7 mpo JF na maneno maneno mnasoma kweli na kazi za chuo mnazìfanya muda gani.
badirikeni mkikosa waume mnalalamika.
Ni ushauri tu msinitukane.
Unakuta nyaningabu naye anajoin, hakyanani nitapinga mpaka mahakamani.
Tena tukishaanza kushiriki kila siku uwe unaweka majina ya maombi tuchague.
Kuna malaya mmoja sitamani awepo basi tu.Ila kama ni kura nitapiga ya hapana kwake bila shaka.
huyu anaetuunganisha ni nani hili group tutakua tunaingiaje,mi nadhan la kwenye simu ,kumbe humu tenaaa