Bora LA JF humu humu. Kwenye simu mbona itakua shiiider kuna watu hawana vifua utashangaaa umeanzishiwa Uzi.
hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
huyu anaetuunganisha ni nani hili group tutakua tunaingiaje,mi nadhan la kwenye simu ,kumbe humu tenaaa
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.
Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.
Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.
Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu
Ata mimi sijaliona ujue? Nasikia tu, au nishatengwa mbea mie
Hahahahaa, mwenzangu mashaka lazima maana hata mimi sijakuzoea kihivyo zaidi ya kukuona juzijuzi tu.
Na sisi tunataka tufunguke kwenye group hatutaki wasiwasi...
Hao ambao hawajajiunga ujue wanatumia JF App. Itabidi waingie kwa kutumia browsers ili waone notification halafu wajiunge.
Hilo kundi halitadumu
Hakuna jipya kwangu na mgazeti wote
Yeye anachotaka ni Nacky asiwe rafiki tena na Mwammy, hayo sijui kuingiza akina Lucy na wengine anataka tu achukiwe
Anaboa sasa mtu anawivu na mbaya wake hadi kuomba afukuzwe kwa wakwe, mbona yeye kaachika na bado anang'ang'ania kumwita mumewe mume bado na nguo za rangi rangi anazirusha.
Angekaa kimya, umbea wenyewe hana wa msuto kazi kuvalia njuga na labda kafanganywa na nacky mwenyewe huyo kaenda andika gazeti
Yote hayo Mwammy, na akome kutofunga mdomo. Bora amemtangaza Nacky now wanamjua wataishi nae kiakili basi.
Lucy mmh hana kazi muongoooooooo hadi anauzi leo amefurahi msuto feki asiojua sababu ni nini zaidi ya kutunga eti kalala uwii, nasubiri picha za Nacky na Mwammy si ataweuka tena.
Na wewe mange hauna mume atiii, ndoa yako imekufaaaaaa, pia acha kusema wanaouza nguo aaaaggghhh unakonunua nao wananunua wanauza pole watukane basi.
Hauna jipya nasema tena ni wivu wivu wivu na roho mbaya ndio maana hakuna hata mmoja kapatana na wewe tena
Hauchoki kuingiza wengine, Lucy wa nini kutaka usikie wamegombana kweli una kazi ya kuwanga.
Unakuta nyaningabu naye anajoin, hakyanani nitapinga mpaka mahakamani.
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.
Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.
Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.
Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu
Ili kushiriki katika "kutoa (taarifa za) umbea, ni lazima uwe na "connections" za kuupata umbea. Hapo ndipo kazi ilipo.
Nimekumbuka yale maneno kwenye wimbo wa afande Sele "sio lazima wote tuimbe, wengine tuwe mashabiki".
Kk
Hahahahahaaa mimi kuna huyo malaya sitaki hata kumsikia.Akijiunga tu nakata rufaa!
Hahahahahaa, wasomaji wa umbea mtakoma mwaka huu.
Mtaliaje? Naona mmeshaanza....