Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Bora LA JF humu humu. Kwenye simu mbona itakua shiiider kuna watu hawana vifua utashangaaa umeanzishiwa Uzi.

yakiweka mashart hakuna kitakachotokea Kwan tutajuaje hii ni namba ya Fulani,na hamuweki profile zenye sura yenu
 
Kwan we ni nani ni mod au nimeona group lakin Hilo group ni laaje,mbona umbean Hua sikuoni au mi mgenii nifah warumi

Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.

Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.

Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.

Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu
 
Last edited by a moderator:
hhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

hhhhhhhaaaaaaaahhhhhhaaaaaaahh
hhaaaaaahhhhhhaaaaaaaa
 
huyu anaetuunganisha ni nani hili group tutakua tunaingiaje,mi nadhan la kwenye simu ,kumbe humu tenaaa

Hahahahahaa nimecheka balaa! Hilo group ni la hukuhuku JF.La kwenye simu sitaki kwakweli, ni hatari zaidi kwa sisi ambao simu zetu zinapekuliwa kila siku.
Kwani kuna ubaya gani likiwa huku? Ila tatizo ni notifications itabidi tuwe tunaingia JF kwa kutumia website hii App inazingua.
 
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.

Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.

Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.

Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu

Hahahahaa, mwenzangu mashaka lazima maana hata mimi sijakuzoea kihivyo zaidi ya kukuona juzijuzi tu.
Na sisi tunataka tufunguke kwenye group hatutaki wasiwasi...

Hao ambao hawajajiunga ujue wanatumia JF App. Itabidi waingie kwa kutumia browsers ili waone notification halafu wajiunge.
 
Last edited by a moderator:
Ata mimi sijaliona ujue? Nasikia tu, au nishatengwa mbea mie

Binamu fungua JF ya website hii ya App huwezi kuona notification ya hilo group.
Ukishafanya hivyo unajiunga tukishakamilika tunaanza kazi.
 
Hahahahaa, mwenzangu mashaka lazima maana hata mimi sijakuzoea kihivyo zaidi ya kukuona juzijuzi tu.
Na sisi tunataka tufunguke kwenye group hatutaki wasiwasi...

Hao ambao hawajajiunga ujue wanatumia JF App. Itabidi waingie kwa kutumia browsers ili waone notification halafu wajiunge.

Yani nimejaribu kuingia kwa kawaida bila application sijaizoea sijui pakuanzia sijazoea. Yani hadi kuingia jf stimu zinakata.
 
Lakini Dinazarde mbona jana nilishaona kama umejiunga?
 
Last edited by a moderator:
Shoga J.lee ngoja carrie atakuunga.Ukishaona notification ya group wewe jiunge, tukishakamilika ndio tutaanza umbea sasa.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna jipya kwangu na mgazeti wote

Yeye anachotaka ni Nacky asiwe rafiki tena na Mwammy, hayo sijui kuingiza akina Lucy na wengine anataka tu achukiwe

Anaboa sasa mtu anawivu na mbaya wake hadi kuomba afukuzwe kwa wakwe, mbona yeye kaachika na bado anang'ang'ania kumwita mumewe mume bado na nguo za rangi rangi anazirusha.

Angekaa kimya, umbea wenyewe hana wa msuto kazi kuvalia njuga na labda kafanganywa na nacky mwenyewe huyo kaenda andika gazeti

Yote hayo Mwammy, na akome kutofunga mdomo. Bora amemtangaza Nacky now wanamjua wataishi nae kiakili basi.

Lucy mmh hana kazi muongoooooooo hadi anauzi leo amefurahi msuto feki asiojua sababu ni nini zaidi ya kutunga eti kalala uwii, nasubiri picha za Nacky na Mwammy si ataweuka tena.

Na wewe mange hauna mume atiii, ndoa yako imekufaaaaaa, pia acha kusema wanaouza nguo aaaaggghhh unakonunua nao wananunua wanauza pole watukane basi.

Hauna jipya nasema tena ni wivu wivu wivu na roho mbaya ndio maana hakuna hata mmoja kapatana na wewe tena

Hauchoki kuingiza wengine, Lucy wa nini kutaka usikie wamegombana kweli una kazi ya kuwanga.

Wivu wivu wivu wivuuu roho mbayaaaa!
 
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.

Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.

Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.

Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu

ok nimekupata haina shida hata ukiwa wewe ulieanzishaa ,sema Tu wambea wa east Afrika hatukupewa taarifa kua group linaanza,nimekupata hakuna kinachoharibikaaa
 
Last edited by a moderator:
Ili kushiriki katika "kutoa (taarifa za) umbea, ni lazima uwe na "connections" za kuupata umbea. Hapo ndipo kazi ilipo.

Nimekumbuka yale maneno kwenye wimbo wa afande Sele "sio lazima wote tuimbe, wengine tuwe mashabiki".

Kk

Hahahahahaa, wasomaji wa umbea mtakoma mwaka huu.
Mtaliaje? Naona mmeshaanza....
 
Hahahahaa, mwenzangu mashaka lazima maana hata mimi sijakuzoea kihivyo zaidi ya kukuona juzijuzi tu.
Na sisi tunataka tufunguke kwenye group hatutaki wasiwasi...

Hao ambao hawajajiunga ujue wanatumia JF App. Itabidi waingie kwa kutumia browsers ili waone notification halafu wajiunge.

halaf kuingia Hilo group mpaka uunganishwe na carrier eti bila ya hivyo huoni kitu etio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom