Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nilitaka kushangaa mana mle wana muhisi Ni sintah mwenyewe. Hyo ya murrano iliniacha hoi.
Hahahahaa, ila sintah ana moyo jamani anavyotukana lakini bado anaachia comments!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka kushangaa mana mle wana muhisi Ni sintah mwenyewe. Hyo ya murrano iliniacha hoi.
Wewe tena......hatari hiyo.Atakayenihitaji aniambie.Naenda kufanya mazoezi yakuchezea pyumbu kwa kutumia kisosi na poda😎
hivi unajua warumi ndio zee la michepuko kwa sinta,Hua ananichekesha anavyotoa watu povu kuleeee hhhhhaaaa warumi
Namsikiaga ujue, ila simjui, labda anaiba swaga zangu, hahaja ahah
Umemuona lulu akicheza wimbo wa baba ubaya? Wallahi mtoto mtamu yule wacha tu kanumba na secky watangulie, na wewe nitumie basi video baby ukicheza Sambororo sijui, halafu ujibinue binue kidogo, umesikia baby? Nataka nifanye mambo yetu yale kabla sijaamka
Nimechoka kuitana baby tu pm, kama noma na iwe noma
Yani mie nilihisi wallahiii...kaah huwa anawakomeshaaa!
Mfyuuu zako! Ndio nini kumwanika rolemodel wetu wa umbeya?
Unataka apigwe bisu la jicho?
Hapo nimepapenda.
namtania tuuu sio yeyee,ILA warumi asivyo na siri angesema Tu kama ni yeye
Ha ha haaa! Nimecheka mpaka trafic kanisimamisha jamani....alijua ninalia lols!
Kweli kabisaa.
We mwache ajichetue hapa.
Jamani kuna watu wapya nimewatumia invitation za lile group letu, nao ni witnessj Avemaria na BADILI TABIA.
Waliokwisha kutumiwa invitation tokea jana na hadi sasa hawajajiunga ni Diva Beyonce warumi binti kiziwi TATIANA na geniveros
Ha ha haaa! Nimecheka mpaka trafic kanisimamisha jamani....alijua ninalia lols!
Shost.....una drive huku unasogoa?weraaaaa
Baadae wapendwa......atakayenihitaji ani mention mtaniona.😉
Binamu naomba basi nije kwako kusalimia nimjue na shemej na watoto loh, vbaya hvyo