Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kumbe mange tatizo ni kuachwa na mume, leo amekiri kuwa kuachwa yeye si ajabu mbona kina Nacky wameachwa na huyo Lance hakuzaliwa nae, asamehewe bure tu. Kamwanika mtoto wa Linda kuwa ni mgonjwa Linda kumchamba ndio kamjibu hayo. Loh, mwanamke nyoka kweli unafurahia maradhi ya mtoto wa mwenzake na yeye kazaa? Kweli ana msongo wa mzungu.
Kani bore Leo na kuanza kusema ugonjwa wa mtoto na kusingizia laana ya mamake eti na matusi ndo yamemfanya mtoto awe hivi. Stress zinamsumbua alidhani kwenda USA ndo Ku win life sasa mambo tofauti kachaganyikiwa kila siku kuwahandika marafiki zake wa zamani wasio kuwa na time naye.
Na hata angaika sana mana hana amani amekosa cha kuandika hadi kuanza kuzalilisha wenye maradhi ya mtoto.