Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

hivi unajua warumi ndio zee la michepuko kwa sinta,Hua ananichekesha anavyotoa watu povu kuleeee hhhhhaaaa warumi

Yani mie nilihisi wallahiii...kaah huwa anawakomeshaaa!
Mfyuuu zako! Ndio nini kumwanika rolemodel wetu wa umbeya?
Unataka apigwe bisu la jicho?
 
Last edited by a moderator:

Ayu itahusika hapo...jipe adhabu ya viganja kama babu le mutuz.
 
Yani mie nilihisi wallahiii...kaah huwa anawakomeshaaa!
Mfyuuu zako! Ndio nini kumwanika rolemodel wetu wa umbeya?
Unataka apigwe bisu la jicho?


namtania tuuu sio yeyee,ILA warumi asivyo na siri angesema Tu kama ni yeye
 
Last edited by a moderator:
Nifanyeje ili nijiunge dia, hata invitation sijaona. Hata warumi hajajiunga! Ebu aache masihara.

Binamu yako we niambie umbea tu nitakuelewa, hayo mambo mmengine mnaniacha nyuma ata sijui jinsi ya kuingia, maana notification sizion
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…