Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu hivi kuna mtu muoga kama Mange? kuna story nilisikia yule Cintia Masasi alikuwa anasubiri kukutana nae maana demu kasoma na mdogo wangu anakwambia yule mwanamke anapiga ngumi kama Mayweather ha ha haa mbona Mange alimtafuta kumuomba msamaha hata Kiki akiamua kukutana na Mange atakimbia kama US Bolt ngumi hajui mdomo tu natamani mmoja wao ampige mpaka aone nyota labda ataacha kudhalilisha watu kwenye uchafu blog yake
Hata kuongea hajui vizuri. Ushawahi kumsikia akiongea? Dizaini ana kigugumizi flani hivi.
Naona anachokiweza ni kujificha nyuma ya keyboard na kuandika tu.
Zaidi ya hapo sidhani kama ana ujasiri wa kumwambia mtu ana kwa ana yale yote ayaandikayo.