Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kuna post nimeona hapaa imefutwa Mara mojaaa lo khaaaaaa!!!!!
ipi hyooo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna post nimeona hapaa imefutwa Mara mojaaa lo khaaaaaa!!!!!
ipi hyooo?
Kuna post nimeona hapaa imefutwa Mara mojaaa lo khaaaaaa!!!!!
posti gani iyoo
Hawa watu wawili mwisho wao sijui utakuwaje
uwiiiiiiii KASHESHEEEEE MANGE KIMAMBI NDIO ATAMSAIDIA KWENYE KAMPENI SO KAENI MKAO WA KULA NA MATUSI YA HUYO MANGE NANI ATAMPIGIA KURA HUYU MAMA, SI NDIO HAWARA WAKE NA BABA MANGE MHAHAHAHAHAHAHAHAA BUAHAHAHAHAHAA UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Dk Mwele Malecela ajitosa urais CCM
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.![]()
habarileo
Wenyewe wanajifanya wajanja na mwanae wa kufikia mange, eti wamengojea january kamaliza jana kutangaza nia leo na huyu hawara wa babake mange naye kajitangaza.hivi magomvi binafsi ya hawa mashoga wakina mange mwamvita mbona mange anataka kuyaingiza kwenye siasa??? Buahahahahahaahaaaaa domo kubwa for president jamani nipigieni kuraaaa
Anadai alipojua tu ndio kipindi kile akasema inabidi niache vita ya siasa, sasa mbona alirudi tena kuchambua watu? unajua siri tuliyoijua sasa ni nini mwasu??? UMBEA WOOOTE NA MANENO YOTE YA CCM MANGE ANAYOYAANDIKAGA ANAAMBIWAGA NA MWELE, MATUSI YOTE WANAYOTUKANWA KINA NACKY NYAGE NA NDOA ZAO NI MWELE, SASA MANGE SIJUI ATAFICHA WAPI USO WAKE, MWELE KAMPENI YAKE ITAPIGWA VITA SANA SABABU YA MANGE, ATASHANGILIWA NA WAPUUZI TU, UTAONA, HAAAA MWELE MAMA MZIMA UNAJIINGIZA KWENYE MAGOMVI YA WATOTO WADOGO.HAPO WAMENGOJEA JANUARY ATANGAZE NIA JANA AMALIZE NAYEYE LEO KAJITOA KWENYE GAZETI ETI ANAGOMBEA, MWEEE SIKUTEGEMEA, SASA MALECELAS WATAKUWA MASHAKANI UMBEA WA U-TURN UMEJULIKANA UNAKOTEA, SASA ITS WAR......
uwiiiiiiii KASHESHEEEEE MANGE KIMAMBI NDIO ATAMSAIDIA KWENYE KAMPENI SO KAENI MKAO WA KULA NA MATUSI YA HUYO MANGE NANI ATAMPIGIA KURA HUYU MAMA, SI NDIO HAWARA WAKE NA BABA MANGE MHAHAHAHAHAHAHAHAA BUAHAHAHAHAHAA UWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Dk Mwele Malecela ajitosa urais CCM
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa ya Binadamu Dk Mwele Malecela mtoto wa Makamu wa zamani wa CCM John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao wamejitosa kugombea urais kupitia CCM.![]()
habarileo
Ya yeye kuachika wengine sie ni story ya zamani atajijuuuuuu na akome kabisa. Mburulaz kutukana watu tu duh
Eti Mange kwanini haukomenti humu kama kawa, username yako haijagi unaposemwa sanaaaaa hapa kama hivi eti unajiteteaje leo?
Weee anapitaga huku kakunja uso wake kama anapuliza moto.
Ana mandondocha wake wanapita hapa daily ila kazi kutusema sie ati twapita kule utadhani data wana tuwekea wao.