Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Bina bwana sijapaniki na wewe. Ni vile kuna wengine hawatajua ni utani wataanza kunitia kundini
Kweli hapo umenena, maana watu hua wanabaki na mambo kichwani humu, siku mkikwaruzana tu umeisha!
Hilo la Domo kaeni attention basi mtuhifadhie screen shots wenzenu!
