Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Naona hapa umbea ndio unaongoza..Itakubidi usameh wabaya wako yote ili kesho upate radhi za mungu
 
Nilisikia umbea upo china na kina matikibokoyao

Hahaha "umbea" kumbe?? Just for your information jeg bor I norge. Kama hujaelewa na kwa faida ya wambea waloleta umbea kwako ni kwamba naishi norway . Tena sikuja tu kupoteza muda ila nilikuja kuchukua Masters ya.......!! And guess what......??? I just graduated. Hapa naandaa proposal ya phd. Kupiga umbea haina maana kwamba sisi ni nothing...umbea ninextra curricula a.k.a curriculum. umenielewa??
 
ana akili za kinyumba ndogo nyumba ndogo

atafute bwana amhaware huku siasani hatutaki vyangudoa maana akiwa rais ataamue leo achepuko wa waziri huyu yule nk
mtu mzima hata ndoa hanaaaw.....

laaana hizo!

ahahahahahah!!!nakupendaga hapo tu,maji unaita maji na chai unaita chai,hakuna kuzunguka na maneno!!!
 

Asante kwa kutupa wambea heshima, soon tutakua na mbea mwenye PhD!
 
Asante kwa kutupa wambea heshima, soon tutakua na mbea mwenye PhD!

Ahaha hata dr. Mwele ni mmbea wakati ni director mzima. Huwa siwekagi wazi ishu yangu yoyote huku JF ila kwa hili imebidi manake kuwekwa kundi moja na wale malaya wa china n; zaidi ya uonevu. Jamani kisa umbea ndio kuambiana kwamba Niko kundi moja na matikibokoyao?? warumi ukitaka cheti pia njoo chemba...
 
Last edited by a moderator:


heeeee hongeraaaaaaaa aiseeee
 


Heee hata mi nilitaka kupingaa aisewee
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahaaa warumi kakuchokoa tu bwana sidhani kama kuna ukweli!
 
Last edited by a moderator:

Khaaa!! Binamu sio msuto huo, mbona nimekuwa mdogo kama pilitoni, hiiiii!!! ...
 

NIlikuwa nakuchimba bhana, nilikumis, ila nasikia mati ana bachelor yule, au ndo ya ukahaba?
 
Last edited by a moderator:
NIlikuwa nakuchimba bhana, nilikumis, ila nasikia mati ana bachelor yule, au ndo ya ukahaba?

Hahahahaha hahahahaha warumi jf ni pana. Ilibidi tu niweke clear manake Kuna watu watapita hapa hawatajua ni utani. Ya mati ni makubwa manake Asia yote ameimaliza sasa sijui ni explorer au vipi.
Alafu si umesikia Kuna umbea utawekwa IG Leo kumuhusu domo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…