muambieni hatutaki rais kimada wala kwenye nchi yetu
muambieni hatutaki rais kimada wala kwenye nchi yetu
Huyu mama atachafuka bure aachane na haya mambo. Watu watamtumia yeye kumtukana mange ohooo abegooo big momma pls leave this battle
Hata mimi simuonei huruma.Kama wanae walikaa kimya na kuona sawa mimi iniume inahusu jamani?
Ipo siku nikiamua nitaweka hadi picha zao za mahaba.....
Nawaangalia tu.
huyu mange amerogwa...nadhan laana za mama ake mzazi zinamtafuna kwa kweli kwa mitusii yote kwa kina January na Lowassa kumbe alikua amejiandaa kumpa mama ake promo??? na hapati ng'ooo atasikia huo urais kwenye bomba...shame on you Mange
Wekaaa
Ntumie pm mwaya.Nasikia bibie ashawah kurekodiwa akizungusha mauno pale katiii yani mie nilipitwa kwa kweli
muambieni hatutaki rais kimada wala kwenye nchi yetu
Yaani mimi nishaweka picha mfano ndo kashinda huyu Mange si mashauzi yataongezeka
Mange ana wakati mgumu sana yule dada.Kwanini hadumu na wanaume?
Najaribu kuvaa viatu vyake vinanipwaya, na kwanini anazidi kujizidishia maadui?
Kama huyo baba wa watu Lowassa anayemtukana kila siku ana akili nzuri kweli?
Anadumuje na mwanaume wakati kabeba machozi ya watu kibao masikitiko ya watu Mungu nae anayasikia lazma aadhibiwe.... na mwanaume gani atakaa na mwanamke kila kukicha mabifu na watu hamna amani kila kukicha anakuadithia jinsi atakavyomchamba mtu.... it cant work like that hata robo....
Nimevuta picha tu hubby anarudi unaanza kumsimulia Leo nimemchamba Fulani kakomajeee...khaa

Umeongea la maana sana, haya maugomvi sio kabisa.
Jamani hebu nendeni kwenye ule uzi wa Mange ndio Campaign manager wa Dr. Mwele kuna gazeti limeattachiwa na DMV ni shiiiidah! Ni refu sana ningepiga japo screen shot in case uzi ukifutwa... Ms.Lincoln geniveros Dinazarde Diva Beyonce Mrembo by Nature warumi siri123
Ungesoma posts vizuri zilizopita ungeona nini kilileta group na umekuta nilikutumia mwaliko ukajiunga.
Hakuna tabu naweza kuliamishia kwenu, nasubiri warumi ambaye pia nilimtumia kujiunga akijiunga nalihamishia kwake yeye ndie ataweza au pia nifah au mwingine yoyote.
Kuna wambea kama 10 bado hawajakubali au hawajaona request ya kujiunga wakajiunga zipo pending.
Au mtachagua nani ashike usikani. Hakuna tabu
Jamani hebu nendeni kwenye ule uzi wa Mange ndio Campaign manager wa Dr. Mwele kuna gazeti limeattachiwa na DMV ni shiiiidah! Ni refu sana ningepiga japo screen shot in case uzi ukifutwa... Ms.Lincoln geniveros Dinazarde Diva Beyonce Mrembo by Nature warumi siri123
Atakuwa alijiandaa kwa haya!Ngoja nikaucheki fasta aisee huyu mama na heshima zake ana mtumia Mange kweli ka campaign manager majanga haya.