Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Yafupishe jaman tujifunze na sie tuwaepuke maana flavy toka juzi ananitext anatak tuwe marafik, kumbe mnanfik ehh

Hahahahahaa nilikua nakusubirije hapo? Na atuambie tu bwana....
 

Kuna sehemu alikiri kuwakosea baadhi ya watu, soma vizur utaelewa, alisema kabisa kuwa alimkosea millen kwa umbea, mi naona kawa neutral tu
 

Heee! Binamu scandal ya usagaji ya nani na nani?
Mimi ndio maana sipendi magroup ya wanawake maana wengi wao wanasagana tu.
 
Daaah kuna some story ukisoma lazima na wewe uwee na fani za umbeaaa..
 

Teh Teh heti Africa mashariki na kati.......inabidi upewe tunzo ya ubuyu....
 
Hivi wadau walipodai anatimu ya mpira amegombana nayo ni kweli.... Kahhhh ... Atakuwa na serious problem huyu bint...

Na huyu number 9 inaelekea hata akiwa na uchungu atazaa ameweka caps kabisa I HATE this woman,,
Dah

Nimesikitika sana kuona kuna watu wanadema eti leo kajieleza vizuri! Mtu gani ugombane na watu wote hao?? Kasahau watu kibao Vipi Kinje, Magai mume wa Shamim ,Miraj Kikwete na wengine kibao Teddy Kalonga
 
Ile scandal ya usagaji ya shamim mwasha na yule dada wa bang uliisikia? Na dina marios wa clouds

Kumbe nao walikua wanasiginana vi..... Aisee makubwa. Haya ma group ya wanawake ni shiiider.
 
Heheheh ngoja niende...maana blogi ya shamim huwa siingiagi...acha nikamuongezee visitors


Unaniangusha sasa.......mjini uhami na watu huwajui..........nenda kwa Shamim tea party angalia mdada aliyejipakaaaaaaa kuliko wote..........huyo huyo.......
 

Akina naniliu ni akina nani hao?
 
Hahahahahaa nilikua nakusubirije hapo? Na atuambie tu bwana....

Yani anaturashaje roho sasa? Wengine kwenye umbea wadhaifu kweli, yani apa sina ata aamni jaman khaa
 
Kudadadekriiiii

Mpaka leo warumi anamuona wena msafi. ...kweli super model katisha


 
Last edited by a moderator:

Alisagana na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…