Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Mange: Listi ya niliogombana nao, yupi naweza kuelewana nae?

Yafupishe jaman tujifunze na sie tuwaepuke maana flavy toka juzi ananitext anatak tuwe marafik, kumbe mnanfik ehh

Hahahahahaa nilikua nakusubirije hapo? Na atuambie tu bwana....
 
The funny thing kwenye whole story yeye ana print picture kwamba ni mtu makini hao wengine wote ndio wana matatizo...

Sidanganyiki na hiyo narration...yaani anajenga picture kwamba yeye msafi,cha ajabu wafuasi lazima waikariri hii bila kuuliza mizani

Kuna sehemu alikiri kuwakosea baadhi ya watu, soma vizur utaelewa, alisema kabisa kuwa alimkosea millen kwa umbea, mi naona kawa neutral tu
 
Chezeya binamu? MJini apa lazima ujiongeze, utapataje umbea sasa? Ila mange kiboko kwa umbea aisehh, inabid nimfuate niombe collaboration tulisongeshe gurudumu la umbea Africa mashariki khaa, ila mbona scandal yao ya usagaji anaizima? Atuelezee jaman yale ma msg ya mtongozo

Heee! Binamu scandal ya usagaji ya nani na nani?
Mimi ndio maana sipendi magroup ya wanawake maana wengi wao wanasagana tu.
 
Daaah kuna some story ukisoma lazima na wewe uwee na fani za umbeaaa..
 
Chezeya binamu? MJini apa lazima ujiongeze, utapataje umbea sasa? Ila mange kiboko kwa umbea aisehh, inabid nimfuate niombe collaboration tulisongeshe gurudumu la umbea Africa mashariki khaa, ila mbona scandal yao ya usagaji anaizima? Atuelezee jaman yale ma msg ya mtongozo

Teh Teh heti Africa mashariki na kati.......inabidi upewe tunzo ya ubuyu....
 
Hivi wadau walipodai anatimu ya mpira amegombana nayo ni kweli.... Kahhhh ... Atakuwa na serious problem huyu bint...

Na huyu number 9 inaelekea hata akiwa na uchungu atazaa ameweka caps kabisa I HATE this woman,,
Dah

Nimesikitika sana kuona kuna watu wanadema eti leo kajieleza vizuri! Mtu gani ugombane na watu wote hao?? Kasahau watu kibao Vipi Kinje, Magai mume wa Shamim ,Miraj Kikwete na wengine kibao Teddy Kalonga
 
Heheheh ngoja niende...maana blogi ya shamim huwa siingiagi...acha nikamuongezee visitors

Unaniangusha sasa.......mjini uhami na watu huwajui..........nenda kwa Shamim tea party angalia mdada aliyejipakaaaaaaa kuliko wote..........huyo huyo.......
 
Nacky Nyange ndo huyuu
 
Attachments

  • 1433340181887.jpg
    1433340181887.jpg
    6.2 KB · Views: 858
Enzi izo fiderin iranga ndo kuwadi mkubwa apo bongo, anajifanya anawaunganishia watu umodo kumbe anawauza kwa wanaume, kashawauza sana hadi akina naniliuu, kuna lijumba lao la ufirauni uko oysterbay yan ni shidaa, wale kwa umalaya wameshindikana sema wanajificha tu, mama ubaya anasubir

Akina naniliu ni akina nani hao?
 
Kudadadekriiiii

Mpaka leo warumi anamuona wena msafi. ...kweli super model katisha

Eehe kumbe mnakumbuka eeh? Yule anajificha mauchafu yake, maana three some kwao ni fashion, jaman mdada kafanywa yule, mpaka kupata madeal uko south na nchi nyingine kashachezea sana duduz, hawa wanaoenakana wasaf kwa kuwa image yao waliojiwekea kwenye jamii tu ila ni wachafu mama ubaya anasubir, sema wema mcharuko tu na watu wanamfuatilia sana ila ngoma zile mtu nyeusi ni noma
 
Last edited by a moderator:
Chezeya binamu? MJini apa lazima ujiongeze, utapataje umbea sasa? Ila mange kiboko kwa umbea aisehh, inabid nimfuate niombe collaboration tulisongeshe gurudumu la umbea Africa mashariki khaa, ila mbona scandal yao ya usagaji anaizima? Atuelezee jaman yale ma msg ya mtongozo

Alisagana na nani?
 
Back
Top Bottom